October 30, 2024
JAMII ZA MARSABIT ZALAUMIWA KWA KUFICHA VISA VYA DHULMA ZA KIJINSIA
NA SILVIO NANGORI Dhulma za kijinsia katika kaunti ya Marsabit zinazidi kuendelezwa licha ya kuwepo kwa kampeni mbali mbali za kuasi mila hizo potofu kutoka kwa mashirika za kibinafsi pamoja na serikali. Kwa mujibu wa afisa wa jinsia katika serekali ya kaunti ya Marsabit Rose Orre ni kuwa jamii inawaficha wanaoendeleza dhulma za[Read More…]