Vijana wa Saku wamelalamikia serekali ya kaunti ya Marsabit kutoidhinisha maswala waliyoibua wakati wa vikao vya kushirikisha umaa kwenye marekebisho ya bajeti…
February 5, 2025
By Waihenya Isaac, Mwenyekiti Wa Muungano Wa Madaktari Nchini KMPDU Dr. Samuel Oroko Ametaka Serekali Kuchukulia Kwa Maanani Wahudumu Wa Afya Nchini Ili Kuwaepusha Na Hatari Inayowakondolea Macho Ya Maambukizi Ya Korona. Akizungumza Jijini Nairobii Oroko Ametaja Kuwa Ni Jambo La Kughadhabisha Mno Kuona Kuwa Serekali Bado Inaendeleza Ajenda Ya[Read More…]
By Samuel Kosgei, Naibu Wa Rais Dkt William Ruto Amejitokeza Na Kukashifu Vikali Wanasiasa Anaosema Kuwa Wanaweka Maslahi Yao Mbele Haswa Wakti Huu Wahudumu Wa Afya Wanapogoma. Akizungumza Katika Kaunti Ya Kericho Alipohudhuria Mazishi Ya Luteni Mstaafu John Koech, Ruto Anasema Kuwa Taifa Lipo Kwenye Janga Kuu La Kimataifa Na Hivyo Kusema[Read More…]
By Statehouse President Uhuru Kenyatta has urged young Kenyan scientists to expend their energies wisely and remain focused so as to come up with cutting edge innovations that will help thrust Kenya into global scientific stardom. The President challenged the budding scientists, engineers and innovators to work towards entrenching Kenya’s[Read More…]
Picha; Hisani By Adano Sharawe, Bunge La Seneti Litaandaa Kikao Siku Ya Jumatano Ili Kuamua Namna Ambavyo Hoja Ya Kumwondoa Mamlakani Gavana Wa Nairobi Mike Sonko Itakavyoshughulikiwa. Spika Wa Bunge La Seneti Ken Lusaka Ameitisha Kikao Hicho Maalum, Na Amesema Kuwa Maseneta, Ambao Kwa Sasa Wako Likizoni, Watasikiza Malalamishi[Read More…]
Picha; Hisani Na Adho Isacko, Huku Ulimwengu Ukiadhimisha Siku Ya Walemavu Hiyo Jana Sherehe Za Kila Mwaka Katika Kaunti Ya Marsabit Hazikufanyika Mwaka Huu Kwa Sababu Ya Mlipuko Wa Covid-19. Akizungumza Na Radio Jangwani Kwa Njia Ya Simu, Afisa Mkuu Wa Huduma Ya Watu Wenye Ulemavu Katika Kaunti Ya Marsabit[Read More…]
Picha; Hisani Na Waihenya Isaac Waziri Wa Elimu Profesa George Maghoha Ametaja Kuwa Kutakuwa Na Mazumguzo Na Kuwahusisha Wazazi Kabla Ya Kutekelezwa Kwa Ongezeko La Karo Ya Vyuo Vikuu Nchini. Haya Yanajiri Siku Chache Tu Baada Ya Mpango Wa Kutaka Karo Za Vyuo Vikuu Kuongezwa Mara Tatu Zaidi Ya Ilivyo[Read More…]