MOHAMED NANE AMEWEKA WAZI SABABU YA KUSUSIA UCHANGUZI WA LEO.
November 14, 2024
Na Grace Gumato Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wameonywa dhidi ya ununuzi wa dawa zozote bila kujua ugonjwa wanaogua ili kujiepusha na madhara kwenye miili yao. Akizungumza na idhaa hii Amina Sharamo ambaye ni dakitari wa ngozi katika kaunti ya Marsabit ametaja kuwa watu wanaonunua dawa za ngozi bila kupata[Read More…]
Na Caroline Waforo Baada ya kisima cha Ririma kilichoko lokesheni ya Kargi eneo bunge la Laisamis kaunti ya Marsabit kuharibika na wakaazi kukosa maji kwa siku kadhaa msimamizi wa timu ya kurekebisha visima vya maji katika idara ya maji jimboni Marsabit Fakasa Boru Fakasa ametoa hakikisho la kukarabatiwa kwa kisima[Read More…]
Na Grace Gumato Janga la ukame limetajwa kama mojawapo ya changamoto ambayo inachangia kina mama kutonyonyesha watoto wao katika kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii afisini mwake David Buke Halakhe afisa naye simamia lishe katika kaunti ya Marsabit amesema uwepo wa ukame umechangia akina mama wengi kukosa lishe bora[Read More…]
Na JB Nateleng Kama njia moja wepo ya kutunza na kuhifadhi mazingira ya ziwa Turkana, viongozi wa Kitengo cha Usimamizi wa Ufuo (BMU) ya Moite Eneo wadi ya Loiyangalani kaunti ya Marsabit wameanzisha zoezi la kusaka nyavu ambazo zilikuwa zimeharamishwa kutumika katika ziwa hiyo.. Kulingana na Andrew Dokoya ambaye ni[Read More…]
Na Lelo Wako Viongozi wa kidini mjini Marsabit wamekashifu kuenea kwa uhusiano wa mapenzi ya jinsia moja na visa vya ukahaba haswa miongoni mwa vijana. Msimamizi wa kanisa la katoliki parokia ya cathedral, Padri Tito Makhoha amekashifu uhusiano aina hiyo huku akiwaomba vijana wasishinikizwe katika kushiriki uhusiano wa jinsia moja.[Read More…]
Na Samuel Kosgei Vijana wanagenzi walioajiriwa na serikali ya kaunti kwa kandarasi ya mwaka mmoja wameendelea kutoa lalama zao ya kutolipwa marupurupu ya zaidi ya miezi sita. Wanagenzi hao ambao leo wamefanya kikao na kamati ya bunge la Marsabit kuhusu utawala wamerai wawakilishi wadi wao kuwasaidia kusukuma serikali kuwapa malipo[Read More…]
Na Carol Waforo, Watoto 10 waliodaiwa kutekwa nyara mwanzoni mwa mwaka huu na mhubiri moja katika eneo la Parkishon kaunti ya Marsabit wamerejeshwa kwa familia zao. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya simu afisa wa watoto hapa katika eneo bunge la Saku Medina Doko amesema kuwa watoto[Read More…]
Na Ebinet Apiyo, Baadhi ya wakaazi mjini Marsabit wamewataka vijana wa Gen Zs kusitisha maadamano yao yaliyopangwa kufanyika hapo kesho na badala yake kumpa rais muda wa kufanya kazi haswa baada ya kutekeleza mageuzi kadhaa serekali. Baadhi ya waliozungumza idhaa hii wameyataja maadamao ya hapo kesho yaliyopewa jina NANENANE kama yanayolenga[Read More…]
Na Grace Gumato, Wafugaji katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kukumbatia kilimo Biashara kama njia moja wapo ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Akizungumza na idhaa hii ofisi mwake afisa wa kilimo katika eneo bunge la Saku Dub Nura ametaja kuwa wafugaji wanafaa kuwa na mfumo mbadala ya kijikumu kimaisha[Read More…]
Na Isaac Waihenya & Naima Abdulahi Wakaazi wa eneo la Laisamis wameitaka idara ya kilimo sawa na serekali ya kaunti kuharakisha kuwanyuzia dawa nzige wa Jangwani ambao wameonekana katika eneo hilo kwa kipindi cha wiki moja sasa. Wakizungumza na Radio Jangwani kwa njia ya simu wakaazi hao Wakiongozwa na Ali[Read More…]