Serikali ya kaunti ya Marsabit yakana madai ya unyakuzi wa ardhi na kutenga jamii ya Sakuye katika harakati ya kufunguliwa kwa mgodi wa Dabel.
January 13, 2025
Na Ebinet Apiyo,
Baadhi ya wakaazi mjini Marsabit wamewataka vijana wa Gen Zs kusitisha maadamano yao yaliyopangwa kufanyika hapo kesho na badala yake kumpa rais muda wa kufanya kazi haswa baada ya kutekeleza mageuzi kadhaa serekali.
Baadhi ya waliozungumza idhaa hii wameyataja maadamao ya hapo kesho yaliyopewa jina NANENANE kama yanayolenga tu kuhujumu utendakazi wa serekali.
Wengine wao wamelalamikia kuadhirika kwa biashara haswa wakati wa maadamano kwani biashara nyingi huishia kufungwa kwa hofu ya kuzuia uharibu kutoka kwa waadamanaji.
Hata hivyo baadhi yao wameunga mkono maandamano ya kesho wakidai kwamba ndio njia pekee ya kumfanya Rais kuskiza matakwa yao.