Wakaazi wa Karare, wanufaika na msaada wa chakula na vifaa vingine vya matumizi kutoka kwa katibu Kello Harsama.
January 9, 2025
By Isaac Waihenya, Wananchi wametakiwa kuwajibika wakti wa uchaguzi na kuwachagua viongozi wenye maadili. Kwa mujibu wa kamishna wa tume ya Uiano na Utengamano Nchini NCIC Denvas Makori ni kuwa ni jambo la kusikitisha mno kuona kuwa wananchi wamekuwa wakiilaumu tume hiyo kutokana na ukosefu wa maadili kutoka kwa viongozi[Read More…]
By Jillo Dida Jillo, Mwanamume mwenye umri wa miaka 48 amemuua mkewe akitumia mshale katika Kijiji cha Kaptimon huko Elburgon kaunti ya Nakuru kutokana na mzozo wa mahindi. Kulingana na ripoti ya idara ya ujasusi ni kuwa, Wilson Koech mumewe marehemu alijaribu kuuza mahindi japo alipingwa na mkwewe na mwanawe.[Read More…]
By Mark Dida, Mwanafunzi mmoja anadaiwa kuuliwa na polisi kwa kupigwa risasi majira ya saa mbili jioni, hapo jana katika mjii wa Mandera. Kulingana na familia, Zakariah Mohamed alipigwa risasi alipokuwa akitoka masomo ya ziada huku wakiandamana na walimu wake. Mvulana huyo alikibizwa katika hospitali ya rufaa mjini Mandera ila[Read More…]
By Waihenya Isaac, Wabunge amabao wanaunga mkono mwafaka kati ya Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa ODM Raila Odinga sasa wanapanga kikao cha pamoja na huenda wakaafikiana Kuhusu kumgatua mamlakani Naibu wa Rais William Ruto. Kwa mujibu wa Mbunge wa Kieni Kanini Kenga ni kuwa wabunge hao huenda wakawasilisha mswaada[Read More…]
By Waihenya Isaac, Mwanafunzi wa kidato cha tatu Katika shule ya wavulana ya King David Kamama Katika kaunti ya Embu aliyepatikana akiwa na risasi pamoja na mwenzake aliyepatikana akijaribu kutetekeza Bweni wanazuiliwa Katika kituo cha polisi cha Manyatta kaunti ya Embu. Kwa mujibu wa kamanda wa polisi Katika kaunti hiyo[Read More…]
By Isaac Waihenya, Jamii za Garre na Murule ambazo zimekuwa zikizozana Katika kaunti ya Mandela Zimetoa maazimio yao kwa tume ya uiano na utengamano Nchini NCIC kama njia mojawapo ya kumaliza uhasama Katika eneo hilo. Maazimio hayo yaliyosomwa mbele ya wazee wa jamii hizo mbili pamoja na viongozi wa kaunti[Read More…]
By Samuel Kosgei, Askofu Michael Otieno Odiwa alisimikwa rasmi na kama Askofu wa kanisa Katoliki jimbo la Homabay Jumanne, baada ya uteuzi wake mwaka jana. Sherehe ya kusimikwa kwake ilifanyikia katika shule ya upili ya Homabay Boys. Hafla hiyo ya kumtawaza Askofu Odiwa iliongozwa na mwakilishi wa Papa humu nchi Kenya Askofu Mkuu Nuncio[Read More…]
By Waihenya Isaac Tume ya Uiano na Utengamano Nchini NCIC imeelezea kusikitishwa kwake na namna mwakilishi wa kike Katika kaunti ya Isiolo Rehema Jaldesa alivyojiwasilisha Katika afisi zao hii leo. NCIC ilikuwa imemwagiza Rehema Jaldesa kufika mbele ya tume hiyo mida ya saa nne asubuhi kabla ya kupokea barua kutoka[Read More…]
By Samuel Kosgei, Wabunge wanaoegemea mrengo wa naibu wa rais William Ruto wameendelea kuukosa namna serikali inavyowabagua wabunge hao kwa kutowapa ulinzi kwenye mikutano yao na hata wakiwa kwenye shughuli zao za kawaida. Wakizungumza katika makao ya naibu wa rais mtaani Karen wabunge hao Zaidi za 130 wamedai kuwa[Read More…]
By Waihenya Isaac, Wawakilishi wadi Kutoka kaunti ya Kisumu,Homabay na kaunti ya Migori wameahidi kupitisha mswada wa marekebisho ya Katiba BBI. Kwenye Mkutano ulioandaliwa Katika kaunti Ya Kisumu wajumbe hao walitaja kuwa watafuata mfano wa bunge la kaunti ya Siaya kwa kupitisha mswaada huo kabla ya wiki hii kukamilika. Akizungumza[Read More…]