Editorial

WATU WANAOISHI NA ULEMAVU KAUNTI YA MARSABIT WAPENDEKEZA KUWEPO KWA MFASIRI WA LUGHA YA ISHARA KWENYE HAFLA ZINAZOANDALIWA HAPA JIMBONI.

Siku moja baada ya walemavu kupata usaidizi mbalimbali kutoka kwa mbunge wa Saku Dido Ali Raso na Senata wa Marsabit Mohamed Chute, watu wanaoishi na ulemavu wa kutozungumza wamekariri kuwa wanapitia changamoto nyingi katika kaunti hii. Baadhi ya waliozungumza na Idha hii wamesema kuwa changamoto kuu wanayokumbana nayo na kukosekana[Read More…]

Read More

WAFUGAJI KUTOKA ELDAS WAJIR WATAKIWA KUONDOKA UPANDE WA MARSABIT.

MWAKILISHI wadi wa Obbu, Halkano Rare amekariri haja ya idara ya usalama hapa Marsabit kusaidia kuondolewa kwa wafugaji kutoka eneobunge la Eldas, Wajir ambao wanaendelea kulisha mifugo yao katika wadi ya Obbu, Sololo kaunti hii ya Marsabit. Rare ameambia Radio Jangwani kuwa licha ya ofisi yake kutoa ombi kwa idara[Read More…]

Read More

LOGLOGO RESCUE CENTER KUFUNGULIWA JANUARI MWAKA UJAO WA 2025.

Kituo cha kuwalinda na kuwahifadhi waadhiriwa wa dhulma za kijinsia katika eneo la Loglogo (Loglogo Rescue Center) kaunti ya Marsabit kitafunguliwa januari mwaka ujao wa 2025. Haya ni kwa mujibu wa afisa wa jinsia katika kaunti ya Marsabit Joshua Akeno Leitoro. Akizungumza na Radio Jangwani baada ya kukamilika kwa warsha[Read More…]

Read More

KIJANA MOJA MWENYE UMRI WA MIAKA 22 AMEJITIA KITANZI MJINI MARSABIT.

KIJANA MOJA MWENYE UMRI WA MIAKA 22 AMEJITIA KITANZI MJINI MARSABIT. Kijana moja mwenye umri wa miaka 22 amejiua kwa kujitia kitanzi mjini Marsabit. Akithibitisha kisa hicho kamanda wa polisi kaunti ya Marsabit Leonard Kimaiyo amedokeza kuwa Kijana huyo alijitia kitanzi kutumia kamba katika eneo la Manyatta Willy viungani mwa[Read More…]

Read More

AFISA MMOJA ANAYESIMAMIA MITIHANI KAUNTI NDOGO YA NORTH HORR, MARSABIT AMEKAMATWA KWA JARIBIO LA KUIBA MTIHANI WA KCSE.

Afisa mmoja anayesimamia mitihani katika shule ya mseto ya  Ruso iliyoko katika kaunti ndogo ya North Horr amekamatwa hii leo kwa jaribio la kuiba mtihani wa KCSE inayoendelea. Akidhibitisha tukio hilo kamanda wa polisi kaunti ya Marsabit Leonard Kimaiyo amesema kuwa mshukiwa alikamatwa akipiga picha mtihani wa hesabu na kutuma[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter