WANANCHI MARSABIT WASIFU KANISA KWA KUKATAA MCHANGO WA WANASIASA NCHINI.
November 19, 2024
CHAMA cha kutetea maslahi ya walimu wa shule za msingi (KNUT) kimepinga mpango wa serikali kutaka kuwaajiri walimu wakuu wengine kuongoza madarasa ya gredi ya saba hadi tisa ilhali tayari shule husika tayari zina walimu wakuu. Akizungumza nasi kwa njia ya simu katibu wa chama cha walimu KNUT tawi la[Read More…]
Itakuwa ni afueni kwa waathiriwa wa dhulma za kijinsia jimboni Marsabit iwapo kituo cha uokoaji katika eneo la Log logo itafunguliwa. Kwa mujibu wa mwekahazina wa kundi la Isogargaro Women Group Hellen Ildhani ni kuwa kituo hicho kitasaidia katika kuwalinda watoto, pamoja na watu wazima ambao wanapitia dhulma za kijinsia,[Read More…]
Viongozi wa kidini katika kaunti ya Marsabit wameunga mkono kauli ya rais William Ruto ya kuitaka jamii kuangazia kuhusu maadili mema kwa ajili ya kupunguza visa vya mauaji ya wanawake nchini. Akizungumza na idhaa hii, mchungaji wa kanisa la Redeemed Gospel hapa Marsabit Silver Savali ameelezea kuwa ni jukumu la[Read More…]
Hii ni kutokana na ripoti za upungufu wa damu katika hospitali ya rufaa ya Marsabit kutokana na hitaji la juu la damu. Ni wito ambao umetolewa na Christine Safia ambaye ni afisa wa benki la damu katika hospitali ya rufaa ya Marsabit. Akizungumza na shajara ya radio jangwani afisini mwake[Read More…]
Afisa mmoja anayesimamia mitihani katika shule ya mseto ya Ruso iliyoko katika kaunti ndogo ya North Horr amekamatwa hii leo kwa jaribio la kuiba mtihani wa KCSE inayoendelea. Akidhibitisha tukio hilo kamanda wa polisi kaunti ya Marsabit Leonard Kimaiyo amesema kuwa mshukiwa alikamatwa akipiga picha mtihani wa hesabu na kutuma[Read More…]
Wazazi Marsabit wahimizwa kutowaficha watoto walio na ulemavu wa kupooza kwa ubongo maarufu celebral palsy. Wazazi katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kutowaficha watoto walio na ulemavu wa kupooza kwa ubongo maarufu celebral palsy, hali ambayo huathiri ubongo wa mtoto, mama akiwa mja mzito. Ni hamasa ambayo imetolewa na mhudumu wa[Read More…]
Watoto walio kati ya umri wa miaka 8 hadi 17 huwa wanakumbana na changamoto ya kufanya maamuzi ambayo yatawajenga kimaisha jambo ambalo limetajwa kuwa linawaathiri kwa kiwango kikubwa. Kwa mujibu wa afisa anayesimamia mradi wa kituo cha maendeleo cha watoto (CDC) katika kanisa la E.A.P.C jimbo la Marsabit Mike Kinoti,[Read More…]
Idara ya elimu kaunti ya Marsabit imejiandaa kuhakikisha kwamba mitihani ya kitaifa KCSE inaendelea kama ilivyoratibiwa. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri ni kuwa mitihani hiyo imeanza vyema katika vituo vyote 52 vya mitihani hapa jimboni. Akizungumza na Shajara Ya Radio Jangwani ofisini mwake,Magiri[Read More…]
Wazazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuwa wangalifu kipindi hichi likizo ili kuhakikisha kwamba wanao hawajiingizi katika utumizi wa mihadarati. Kwa mujibu wa mwalimu Sarah Wanyeki ni kuwa ni jukumu la wazazi kujua waliko wanao kipindi cha likizo ili wasije wakajihisisha na maovu. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa[Read More…]
Baada ya waziri wa usalama Profesa Kithure Kindiki kuapishwa kama naibu wa rais mpya hii leo, wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na hatua hiyo. Baadhi ya waliozungumza na shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya kipekee, wameonyesha kutoridhishwa na uamuzi uliofanywa na mahakama pamoja na Rais Ruto kwa kumchagua[Read More…]