Diocese of Marsabit

Viongozi Wa Kidini Jimboni  Marsabit  Watoa Wito Wa Kutafutwa Kwa Suluhu La Utovu Wa Nidhamu Shuleni

Picha;Hisani   By Samuel Kosgei, HUKU utovu wa nidhamu shuleni ukizidi kushuhudiwa na shule kadhaa kuteketezwa na wanafunzi nchini, wito wa suluhu kupatikana unazidi kutolewa na viongozi wa kidini. Kufikia sasa shule zaidi ya 10 zimeteketezwa na wanafunzi kote nchini. Akizungumza na shajara ya radio jangwani, askofu wa kanisa la[Read More…]

Read More

Asilimia 97% Ya Wanafunzi Wa Shule Za Msingi Na Asilimia 96 Ya Wale Wa Sekondari Katika Kaunti Ya Marsabit Wamerejea Shuleni – Asema Kamishna Paul Rotich.

By Silivio Nangori, Kamishna wa kaunti ya Marsabit Paul Rotich amewarai wazazi kuwaelekeza watoto wao katika maswala mengi za maisha na katika masomo yao ili kupunguza utovu wa nidhamu. Akizungumza na kituo hiki Rotich amesema kwamba asilimia 97% ya wanafunzi wa shule za msingi na asilimia 96 ya wale wa[Read More…]

Read More

Wanaume 12 wamefikishwa,mbele ya mahakama ya Marsabit kwa kosa ya kuendesha piki piki bila stakabadhi hitajika.

By Jillo Dida Jillo, Wanaume 12 wamefikishwa,mbele ya mahakama ya Marsabit kwa kosa ya kuendesha piki piki bila stakabadhi hitajika. 12 hao walikamatwa na maafisa wa trafiki jumapili tarehe 31 mwezi Januari mwaka huu katika soko la Merile kaunti ndogo ya Marsabit Kusini. Wameshtakiwa kwa makosa ya kuendesha piki piki[Read More…]

Read More

Baadhi Ya Wachuuzi Mjini Marsabit Waandamana Hii Leo Wakilalamika Kuhusu Nyongeza Ya Kodi Kutoka Shilingi 20 Hadi 100.

By Mark Dida & Silvio Nangori Wachuuzi kutoka kaunti ya Marsabit eneo Bunge la Saku wameandamana hii leo  wakilalamika kuhusu nyongeza ya Kodi kutoka shilingi 20 Hadi 100. Miongoni mwa malalamishi yao ni kwamba wanaokusanya Kodi wanafanya shughuli hiyo kwa ubaguzi jambo ambalo wengi wanadai ni hali ya kudhulumiwa ikizingatiwa[Read More…]

Read More

Waakazi Wa Kaunti Ya Marsabit Watoa Kauli Yao Kuhusiana Na Semi Za Walala Hoi Na Walala Hai Yaani Hustlers Na Dynasties.

By Jillo Dida, Siku moja baada ya tume ya uwiano na utangamano kuonya dhidi ya Mjadala wa walala hoi na walala hai yaani hustlers na dynasties kwa madai kuwa inakosanisha wakenya baadhi ya wakaazi tuliozungumza nao  hapa marsabit wamedai kuwa Kenya iteendelea kugawanyika Zaidi kwenye msingi wa maskini na matajiri. Gumzo hilo[Read More…]

Read More

Tume Ya Uiano Na Utengamano Nchini NCIC Inangangana kuwarejesha viongozi wa kaunti ya Marsabit Katika meza ya mazungumzo baada ya mazungumzo ya hapo awali kusabaratika.

By Waihenya Isaac, Tume Ya Uiano Na Utengamano Nchini NCIC Inangangana kuwarejesha viongozi wa jimbo hili Katika meza ya mazungumzo baada ya mazungumzo ya hapo awali kutawanyika. Hayo ni kwa mujibu wa kamishna wa tume hiyo Denvas Makori. Akizungumza na Idhaa hii kwa njia ya simu, Makori ametaja swala la[Read More…]

Read More

KWS Marsabit Yatoa Wito Wa Uwepo Amani Ili Utalii Uimarike Jimboni.

By Mark Dida, Naibu  mkurugenzi wa shirika la kuhifadhi wanyama pori kaunti ya Marsabit Robert Obran amesema kuwa wanaendelea kufanyia tafiti pembe za ndovu zilizopatikana na majangili waliotiwa mbaroni na maafisa wa kulinda msitu KWS ili mahakama  kufanya maamuzi. Hata hivyo Obran ametoa uwito kwa wakaazi wa Marsabit kuchukua jukumu[Read More…]

Read More

Zaidi Ya Vijana 2,000 Katika Kaunti Ya Marsabit Walijitokeza Kwenye Zoezi La Kusajiliwa Kama Vibarua Katika Shirika La Huduma Kwa Wanyamapori Nchini KWS.

By Mark Dida, Zaidi Ya Vijana 2,000 Katika Kaunti Ya Marsabit Walijitokeza Kwenye Zoezi La Kusajiliwa Kama Vibarua Katika Shirika La Huduma Kwa Wanyamapori Nchini KWS. Naibu Mkurugenzi Mkuu Wa KWS Kaunti Ya Marsabit Robert Obrein Amesema Wamesajili Vijana 93 Kutoka Kaunti Zote Ndogo Jimboni Kati Ya Vijana Zaidi Ya[Read More…]

Read More

Waziri wa Fedha Ukur Yattani atishia kuwashtaki mbunge wa Saku Dido Rasso na mwakilishi wa kike katika kaunti ya Isiolo Rehema Jaldesa kwa kumchafulia jina.

Waziri Wa Fedha Ukur Yattani. Picha; Hisani. By Adano Sharawe, Waziri wa Fedha Ukur Yattani amewapa muda wa siku 3 Mbunge wa Saku Dido Ali Rasso na Mwakilishi wa Wanawake katika kaunti ya Isiolo Rehema Jaldesa, kumuomba msamaha kwa njia rasmi. Hatua hii inafuatia baada ya wawili hao kudai Yattani[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter