IDARA YA KILIMO LAISAMIS YATAKIWA KUELIMISHA WAFUGAJI KUHUSU UKULIMA BADALA YA KUTEGEMEA UFUGAJI PEKEE.
November 20, 2024
County updates, notifications, news from the Marsabit County
Licha ya kaunti ya Marsabit kuwa na idadi kubwa ya mifugo imebainika kuwa idadi hiyo haiwezi ikafikia kiwango cha kuuzwa katika soko la kimataifa. Mkurugenzi wa idara ya mifugo kaunti ya Marsabit Moses Lengarite amesema kuwa soko la kimataifa ni kubwa hivyo taifa la Kenya haliwezi kutosheleza hilo kutokana na[Read More…]
Katika juhudi za kuimarisha usalama jimboni Marsabit idara ya usalama imeanza mchakato wa kuwapiga msasa watu watakaojiunga na maafisa wa akiba NPR. Akizungumza na shajara ya radio Jangwani kamanda wa Kaunti hii ya Marsabit Leonard Kimaiyo amesema kuwa maeneo yaliyo mipakani yatapewa kipaumbele kutokana na utovu wa usalama ambao umekuwa[Read More…]
Idara ya misitu humu jimboni Marsabit inalenga kupanda miti katika maeneo kame, tambarare na milima humu jimboni ili kupunguza maeneo yenya jangwa pamoja na kufanikisha mpango wa seriklai wa kupanda miti bilioni 15 ifikapo mwaka 2032 ambapo kaunti ya Marsabit imeratibiwa kupanda miti bilioni 2.5 ifikapo mwaka huo. Mradi huu[Read More…]
Ni wakati wa kuasi mila potovu na kurusuhu wasichana katika kaunti ya Marsabit kusoma. Haya yamekaririwa na mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri. Akizungumza katika eneo la Kalacha, wakati wa hafla ya wazee wa jamii ya Gabra kupiga marufuku tamaduni ya kuwaoza wasichana waliochini ya umri wa[Read More…]
DCC wa eneo la Marsabit North (Maikona) Pius Njeru amewataka wazazi katika kaunti ya Marsabit kuhakikisha kwamba wanawapeleka watoto shuleni bila kuwabagua. Akizungumza katika eneo la Kalacha wakati wa hafla ya wazee wa jamii ya Gabra kupiga marufuku tamaduni ya kuwaoza wasichana waliochini ya umri wa miaka 18, DCC Njeru[Read More…]
Sasa ni afueni kwa wasichana kutoka jamii ya Gabra katika kaunti ya Marsabit baada ya wa wazee wa jamii hiyo maarufu YAA kupiga marufuku tamaduni ya kuwaoza wasichana waliochini ya miaka 18. Hafla hiyo iliyofanyika katika eneo la kitamaduni, katika kijiji cha Kalacha na kufadhiliwa na shirika la kutetea haki[Read More…]
Wahalifu wa wizi wa mifugo kutoka kaunti jirani zinazopakana na kaunti ya Marsabit wameonywa vikali dhidi ya kutekeleza mashambulizi hapa jimboni Marsabit. Ni onyo ambalo limetolewa na kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau. Onyo hili linajiri kufuatia jaribio la wizi wa mifugo wiki jana katika eneo la Ell Nedeni[Read More…]
Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya mazingira hii leo wananchi kaunti ya Marsabit wametakiwa kuasi kasumba ya kukata miti ili kupambana na mabadiliko ya tabia nchi. Akizungumza kwenye warsha ya kusherehekea siku ya Mazingira hapa Marsabit mkurugenzi wa Mazingira katika jimbo la Marsabit Janet Ahatho amewataka wakazi wa Marsabit kuishabikia zoezi[Read More…]
Wito umetolewa kwa wazazi kuwapeleka wanawao hospitalini iwapo wataripoti visa vyovyote vya kuumwa na macho. Haya yamekaririwa na mtaalam wa macho katika kliniki ya Macho, katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Amina Duba. Akizungumza na idhaa hii afisini mwake, Amina amesema kuwa kuna magonjwa ya macho ambayo yanaweza yakatibika iwapo[Read More…]
Huku ulimwengu ukiadhimisha mwezi wa kutoa hamasa kuhusiana na saratani ya matiti duniani wito umetolewa kwa akinamama kujitokeza kufanyiwa ukaguzi kuhusiana na ugonjwa huo. Kwa mujibu ya muunguzi kwenye kituo cha saratani katika hospitali ya rufaa ya Marsabit, Joyce Mokuro asilimia 16.2 ya watu hapa nchini wameadhirika na ugonjwa huo. Akizungumza[Read More…]