Taylor Swift Unveils New Secret Double Album.
April 19, 2024
County updates, notifications, news from the Marsabit County
Na Mark Dida Watahiniwa 197 wa KCSE mwaka 2020 wamejizolea alama ya kuwawezesha kujiunga na vyuo vikuu kulinganishwa na mwaka 2019 ambapo wanafunzi 112 walijiunga na vyuo vikuu katika kaunti ya marsabit. Ni watahiniwa 2,013 waliufanya mtihani huo katika kaunti hii. Hii ni kwa mujibu wa Mkurugezi wa Elimu kaunti[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Jamii nyingi katika kaunti ya Marsabit zimewatelekeza wanawake huku wengi wao wakiumia kipindi kunapotokea majanga kwa kukosa ufahamu. Haya yamebainishwa wakati wa hafla ya kuwahamasisha wanawake kuhusu namna ya kujimudu wakati wa majanga. Afisa anayesimamia shughuli hiyo Sahara Ahmed amesema kuwa ipo hoja ya wanawake kupewa elimu[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Serikali kwa ukishirikiano na mashirika tofauti nchini imefaulu kukabili nzige wa Jangwani ambao wamekuwa wakiwahangaisha wakulima na kuharibu mimea mashambani kwenye maeneo mbali mbali hapa nchini. Kulingana na waziri wa ugatuzi Eugine Wamalwa ni kuwa serikali ikishirikiana na shirika la umoja wa mataifa la chakula na kilimo[Read More…]
By Waihenya Isaac Kamishna wa kaunti ya Marsabit Paul Rotich amewahakikishia wakaazi wa kaunti ya Marsabit usalama wa kutosha. Akizungumza wakti wa Uzinduzi wa shihena ya Chakula cha msaada Kutoka kwa shirika la msaba mwekunduku uliofanyaika hapa mjini Marsabit,Kamishna Rotich ametaja kuwa serekali inafanya kila jitihada ili kuondoa kero la[Read More…]
By Adano Sharawe, Wazazi na wanafunzi kutoka kaunti ndogo ya Laisamis wanasherehekea matokeo bora ya mtihani wa KCPE mwaka huu, wengi wao wakiwa wamepata alama 300 na zaidi. Hata hivyo, walielezea masikitiko yao ya kushuka kwa matokeo hayo kulinganisha na mwaka 2019. Kulingana na mzazi Edward Delea, janga la corona[Read More…]
By KDF The Principal Secretary at the Ministry of Defence, Hon. Dr. Ibrahim Mohammed, has today launched the KDF vaccination exercise against COVID-19 pandemic at the Defence Forces Memorial Hospital in Nairobi. Speaking after receiving his vaccine jab, the PS said that those who would be vaccinated will[Read More…]
By Mark Dida, Naibu mkurugezi wa shirika la kulinda wanyama pori kws Katika eneo la kaskazini mwa kenya Robert Obrein amewasuta wafugaji kwa kukata ua wa umeme Katika eneo la hulahula na karare ili kupata njia ya mkato kuingia msitituni. Akizungunza na idha hii kupitia njia ya simu Obrein ametaja[Read More…]
By Guyo Godana. NA Guyo Godana Wakaazi wa eneo la Toricha katika wadi ya Maikona, wamelalamikia kusahaulika n ahata kutelekezwa na serikali ya kaunti ya Marsabit. Wenyeji hao wakiszungumza na Radio Jangwani wanasema kwamba zahanati ilijengwa katika eneo hilo miaka mitano iliyopita ila kufikia sasa hawajaona matunda yoyote ya zahanati[Read More…]
By Samuel Kosgei, Gavana wa Marsabit Mohammud Ali amekashifu vikali Idara ya usalama katika kaunti ya Marsabit kwa madai ya kuzembea kazini na kuchangia kudumu kwa machafuko na mauaji ya kila mara katika jimbo la Marsabit. Akizungumza katika hafla ya kuzindua kliniki ya saratani katika hospitali kuu ya Marsabit, Ali[Read More…]
By Samuel Kosgei, Huenda ikawa afueni kwa wakaazi wa jimbo la Marsabit haswa kwa wale wanaougua ugonjwa wa saratani baada ya kliniki ya kuchunguza na kutoa ushauri kwa kero la saratani kuzinduliwa rasmi hii leo. Shughuli ya uzinduzi huo imeongozwa na Gavana Mohamoud Ali. Mama kaunti Alamitu Jattani ambaye ndiye[Read More…]