NDOTTO WARRIORS WATWA UBINGWAWA TAJI LA AHMED KURA TOURNAMENT MWAKA 2024…
December 18, 2024
County updates, notifications, news from the Marsabit County
Mfumo wa kutatua kesi nje ya mahakama maarufu Alternative Justice System AJS umezinduliwa rasmi leo hii katika kaunti ya Marsabit. Uzinduzi huo umeongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome aliyeandamana na jaji wa Mahakama kuu ya Marsabit Jesse Nyagah pamoja na Jaji wa mahakama ya Rufaa Fred Ochieng. Akizungumza katika hafla[Read More…]
NA SAMUEL KOSGEI Jamii zinazoishi kaunti ndgo ya Moyale na Marsabit kwa ujumla zimetakiwa kuendelea kuishi kwa njia ya Amani na ushirikiano ili kufanikisha maendeleo na uwiano. Kauli hiyo imetolewa na Mohamednur Korme ambaye ni mwenyekiti wa muungano wa Amani Moyale na pia katibu wa muungano ya Amani ng’ambo ya[Read More…]
Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya choo duniani, wito umetolewa kwa wakaazi wa kaunti ya Marasabit kuhakikisha kwamba kila boma iko na choo. Kwa mujibu wa afisa mkuu katika idara ya afya kaunti ya Marsabit Omar Boko, ni kuwa uwepo wa vyoo katika kila boma utahakikisha kwamba jimbo la Marsabit limedumisha[Read More…]
Zaidi ya watu 50 wamenufaika na vifaa kutoka kwa shirika la The National Fund for the Disabled of Kenya (NFDK) katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa mwanachama wa bodi ya shirika hilo Profesa Julia Ojiambo ni kuwa watu hao ni kutoka kaunti ndogo tatu za jimbo la Marsabit ambazo ni Laisamis, Saku na Moyale.[Read More…]
Vyombo vya habari kaunti ya kaunti ya Marsabit vinafaa kuwa makini na habari vyanavyopeperusha kwenye vituo vyao. Haya yamekaririwa na Kamishina wa kaunti ya Marsabit Paul Kamau. Akizungumza kwenye mkutano ya wanahabari na wakuu wa idara mbalimbali ya serikali hii leo, Kamau amesema kuwa kaunti ya Marsabit imejulikana na jina[Read More…]
Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya ugonjwa wa kisukari siku ya Alhamisi wanadada katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kujiepusha na matumizi ya dawa za kunenepesha mili ikitajwa kuchangia ugonjwa huo. Akizungumza na shajara ya radio Jangwani afisini mwake afisa anayesimamia ugonjwa usiokuwa wa kuambukiza Sororo Abudho amedokezo kuwa dawa hizo zina chembechembe[Read More…]
Idara ya elimu kaunti ya Marsabit imeongeza kiwango cha walimu katika shule za msingi,msingi sekondari (JSS) na shule za upili. Kulingana vyanzo vya habari kutoka tume ya huduma za walimu TSC, vilivyosema na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya kipekee ni kwa takriban walimu 426 waliajiriwa kwa mkataba wa[Read More…]
LICHA ya matukio ya kigaidi kupungua kwa kiasi kikubwa nchini kuna haja ya idara mbalimbali za serikali na hata washikadau wengine katika jamii kuzidi kushikamana na ili kumaliza kabisa kero ya ugaidi nchini. Afisa kutoka kituo cha kutunga sera na mikakati ya kuzuia ugaidi nchini NCTC, Edwin Wameyo amesema kuwa[Read More…]
Idara ya afya katika ugatuzi ya Marsabit pamoja na nchi jirani ya Ethiopia imeshirikiana kupiga vita magonjwa ya kupooza na ukambi. Licha ya Kenya kupiga teke magonjwa hayo miaka mingi iliyopita inadaiwa kuwa magonjwa hayo yanasababishwa na mwingiliano wa karibu na watu kutoka nchi jirani ya Ethiopia. Akizungumza na shajara[Read More…]
Usalama umeimarishwa katika kijiji cha Abbo kaunti ndogo ya Sololo katika kaunti ya Marsabit baada ya zaidi ya wahalifu wapatao 20 wanaoaminika kutoka nchi jirani ya Ethiopia kuvamia kijiji hicho na kuanza kufyatua risasi kabla ya kutoweka kuelekea eneo la Dukale nchini Ethiopia. Kulingana na kamanda wa polisi kaunti ya[Read More…]