Mfumo wa kutatua kesi nje ya mahakama (AJS) wazinduliwa rasmi,Marsabit.
November 23, 2024
County updates, notifications, news from the Marsabit County
Na Jacob Nateleng Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Marsabit wamepongeza uteuzi wa Jumanne wa Kabale Tache Arero kuwa Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi-NLC, nafasi ambayo ameshikilia kama kaimu kwa miaka mitano iliyopita. Wakiongozwa na kiongozi wa vijana katika eneo la Saku Abdi Boru wakazi hao[Read More…]
Na Isaac Waihenya Vijana wa klabu ya Soka ya Samba Boyz hapa mjini Marsabit wameirai jamii ya Marsabit pamoja na vilabu vingine kuwa katika mstari wa mbele kutoa damu ili kuokoa maisha ya wale wanaohitaji damu hiyo. Wakiongozwa na nahodha wao Siba Burcha vijana hao wametaja kwamba wamechukua jukumu la[Read More…]
Na Samuel Kosgei Aliyekuwa mbunge wa North Horr Chachu Ganya alipokelewa kwa shangwe na mbwembwe katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JKIA baada ya kurejea nchini akitokea Marekani alikotuzwa tuzo ya kimataifa ya marekani ya Sol Feistone aliyopewa baada ya jitihada zake za kuwasaidia watoto maskini zaidi ya 2000[Read More…]
Na Isaac Waihenya Mbunge wa Moyale Profesa Guyo Wako Jaldesa amedhibitisha kuwa ni kweli kuna baadhi ya wanafunzi katika eneo bunge lake wanaopewa hadi shilingi elfu 100,000 fedha za busari ya CDF. Akizungumza na Radio Jangwani kwa njia ya Simu, mtunga sheria huyo alitaja kuwa hilo liliafikiwa kati yake na[Read More…]
Picha Silvio Nangori Na Silvio Nangori Hospitali ya Rufaa ya Marsabit hii leo imezindua mashine ya kuzalisha oksijeni ambayo inaweza kuzalisha mitungi 10 ya kilo hamsini ndani ya saa 24. Mashine hiyo ambayo imegharimu takriban milioni 20 imefadhiliwa na Shirika la Marekani la USAID. Katika hafla hiyo hospitali ya Rufaa[Read More…]
Na Silvio Nangori Mshukiwa wa wizi wa piki piki karibu na Shemeji inn katika eneo bunge la saku amefikishwa katika mahakama ya Marsabit. Inadaiwa kwamba Isaak Hussein Guracha alihusika katika wizi wa piki piki aina ya Skygo yenye nambari ya usajili KMGG 787P inayogharimu Sh 241,645 tarehe 5 Juni,2023 mali[Read More…]
Na Samuel Kosgei WAWAKILISHI wadi kaunti ya Marsabit walijiunga na wenzao kote nchini kugoma kwa kususia majukumu yao kama MCAs baada ya serikali kupuuza malalamishi yao kadhaa ikiwemo nyongeza ya mishahara na kunyimwa hazina ya wadi. Kiongozi wa wengi katika bunge la Marsabit Bernard Leakono akizungumza na Shajara ya Jangwani[Read More…]
Na Samuel Kosgei, Ni afueni kubwa sasa kwa wakaazi wa Bubisa eneobunge la North Horr kaunti ya Marsabit baada ya mashine ya kusafisha maji kwa kutoa madini ya chumvi kuzinduliwa rasmi na shirika la PACIDA na washirika wake mjini humo. Afisa mkuu mtendaji wa shirika la PACIDA Marsabit, Patrick Katelo[Read More…]
Na Isaac Waihenya na John Bosco, Wito unazidi kutolewa kwa wakaazi wa eneo bunge la Laisamis kufuata maagizo ya wizara ya afya ili kujizuia dhidi ya ugonjwa wa malaria baada ya kubainika kwa aina mpya ya mbu wanaoaminika kuwa wabaya. Kwa mujibu wa chifu wa eneo la Laisamis Agostino Supeer[Read More…]
Na Isaac Waihenya na John Bosco, Shule 26 katika kaunti ya Marsabit zitanufaika na mradi unaoendeshwa na wizara ya elimu wa kuboresha shule mbambali hapa nchini (SEQIP). Kwa mujibu wa msimamizi wa kiwango cha ubora wa elimu katika kaunti ya Marsabit Mumas Wanyama ni kuwa shule 14 kutoka eneo bunge[Read More…]