County Updates

County updates, notifications, news from the Marsabit County

POLISI KAUNTI YA MARSABIT WAMUUA MHALIFU MMOJA KATIKA ENEO LA BADASA BAADA YA JARIBIO LA WIZI WA MIFUGO KUTIBUKA

Polisi katika kaunti ya Marsabit wamemuua mhalifu mmoja katika eneo Badasa baada ya jaribio la wizi wa mifugo kutibuka. Akithibitisha kisa hicho kamanda wa polisi kaunti ndogo ya Marsabit ya kati, Edward Ndirangu amesema kuwa kisa hichi kilijiri jana saa sita mchana, ambapo watu waliokuwa wamejihami na bunduki walivamia wafugaji[Read More…]

Read More

BAADHI YA VIJANA WA KIZAZI KIPYA ALMAARUFU GEN ZS KATIKA MJI WA MARSABIT WATOA HISIA ZAO KUHUSISNA NA KAULI INAYOZAGAA KUWA HAWASAIDII WAZAZI WAO.

Na Naima Abdullahi, Baadhi ya vijana wa kizazi kipya almaarufu Gen Zs katika mji wa Marsabit wametoa hisia zote kuhusisna na kauli inayozagaa kuwa hawasaidii wazazi wao. Wakizungumza na Radio Jangwani vijana hao walilaumu ugumu ya maisha kama ya moja ya changamoto zinazopelekea wao kutowasidia wazazi. Aidha baadhi ya Gen[Read More…]

Read More

WANAMARSABIT WATAKIWA KUWATUNZA WAZEE NA KUWAEPUSHA NA MADHARA.

Na Naima Abdullahi & Kame Wario, Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya wazee duniani hapo jana,jamii ya Marsabit imetakiwa kuwatunza wazee ili kuwaepusha na madhara. Kwa mujibu wa afisa wa huduma za jamii katika kaunti ya Marsabit Habiba Ailo Adan ni kuwa jamii inafaa kuwatunza wazee na kuasi kasumba ya kuwatelekeza.[Read More…]

Read More

VIJANA KAUNTI YA MARSABIT WASHAURIWA KUWASAIDIA WAZAZI WAO KUJISAJILI KWENYE BIMA MPYA YA AFYA YA SHIF.

Na JB Nateleng & Abdilaziz Abdi, Vijana katika kaunti ya Marsabit wameshauriwa kuwasaidia wazazi wao kujisajili kwenye bima mpya ya afya ya SHIF. Kwa Mujibu wa naibu kamishna wa Marsabit ya kati David Saruni ni kuwa vijana wanauwezo wa kusaidia serekali kusajili watu wengi kwa sababu wanauzoefu wa kutumia mitandao[Read More…]

Read More

BADHII YA MANAHODHA WA VILABU VYA KABUMBU WALALAMIKIA KILE WAMEKIKATAJA KUWA NI KUFUNGIWA NJE KWENYE UCHAGUZI MKUU WA KUWACHAGUA VIONGOZI WA MICHEZO KATIKA JIMBO LA MARSABIT.

Na Isaac Waihenya & Abdilaziz Abdi, Badhii ya manahodha wa vilabu vya kabumbu katika eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit wamelalamikia kile wamekitaja kuwa ni kufungiwa nje kwenye uchaguzi mkuu wa kuwachagua viongozi wa michezo katika jimbo la Marsabit Wakizungumza na waadishi wa habari hapa mjini Marsabit manahodha hao[Read More…]

Read More

ASLIMIA 30 YA WATU WANAOISHI KATIKA MIJI YA MARSABIT WANAPATA MAJI SAFI YA MATUMIZI. – ASEMA AFISA MKUU KATIKA IDARA YA MAJI HAPA JIMBONI MARSABIT ROB GALMA.

Na Isaac Waihenya & Abdilaziz Abdi, Ni aslimia 30 pekee ya watu wanaoishi katika miji ya Marsabit wanapata maji safi ya matumizi. Haya ni kwa mujibu wa afisa mkuu katika idara ya maji hapa jimboni Marsabit Rob Galma. Akizungumza na Radio Jangwani kwa njia ya kipekee wakati wa hafla ya[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter