County Updates

County updates, notifications, news from the Marsabit County

Wawakilishi Wadi Wa Kaunti Ya Marsabit Wameteta Sababu Zao Kupitisha Mswada Wa BBI.

By Samuel Kosgei, WAWAKILISHI Wadi wa kaunti ya Marsabit wameteta sababu zao kupitisha mswada wa kubadilisha katiba mwaka wa 2020 wakidai kuwa ni mswada mzuri kwa wakaazi wa marsabit ikizingatiwa kuwa kaunti nyingi imechangamkia mchakao huo wa BBI. Wakizungumza nje ya bunge lao MCAs hao wakiongozwa na kiongozi wa wengi[Read More…]

Read More

Shughuli Ya Kuwaajiri Makurutu Wa Polisi Imefanyika Jana Katika Vituo Mbali Mbali Kote Nchini.

    By Jillo Dida Shughuli ya kuwaajiri makurutu wa polisi imefanyika jana katika vituo mbali mbali kote nchini. Idadi ndogo ya vijana ilishuhudiwa katika vituo mbali mbali vya kaunti ndogo zote za Marsabit. Zoezi hilo limefanyika katika maeneo tofauti katika kaunti ya Marsabit yakiwa ni pamoja na Laisamis, Loiyangalani,[Read More…]

Read More

Kipindi Cha Kwaresma Ni Wakti Mwafaka Wa Kufanya Toba Na Kuzungumza na Mungu.- Askofu Peter Kinara

  By Samuel Kosgei, Askofu wa Jimbo Katoliki La Marsabit Peter Kihara amesema kuwa kipindi hiki wakatoliki wote dunia wanapoanza kipindi cha kwaresma ni wakti mwafaka wa kufanya toba na kuzungumza na Mungu. Akihubiri katika kanisa Kuu la Parokia ya Maria Consolata mjini Marsabit, Kihara amewataka wakristo kutumia wakti huu[Read More…]

Read More

Baadhi Ya Walimu Wakuu Katika Shule Za Misingi Za Marsabit Watoa Hisia Zao Kuhusiana Watahiniwa Wa KCPE Kutakiwa Kujiunga Na Shule Ya Kutwa Zilizoko Katika Kaunti Zao.

Picha :Hisani By Mark Dida, Baadhi ya walimu wakuu wa shule ya misingi eneo hili wametoa hisia mbali mbali baada Katibu katika Wizara ya Elimu Belio Kipsang kutoa tarifa kuwa watahiniwa wa KCPE wanatakiwa kujiunga na shule ya kutwa zilizoko katika kaunti zao. Kuligana na mwalimu wa shule ya msingi[Read More…]

Read More

Washukiwa Wanne Waliokamatwa Katika Eneo La Ele Borr Kaunti Hii Ya Marsabit Mnamo Februari 6, Wafikishwa Mahakamani Jijini Nairobi Hii Leo Na Kushtakiwa Kwa Kumiliki Silaha Bila Kibali.

  By Waihenya Isaac, Washukiwa wanne waliokamatwa katika eneo la Ele Borr katika kaunti ndogo ya Turbi,Kaunti hii ya Marsabit mnamo februari 6 mwaka huu wamefikishwa mahakamani jijini Nairobi hii leo na kushtakiwa kwa kumiliki silaha bila kibali. Wanne hao kati yao maafisa wawili wa Kaunti ya Marsabit wamekana mashtaka[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter