County Updates

County updates, notifications, news from the Marsabit County

Maseneta wamemtaka waziri wa elimu George Magoha pamoja na wakuu wa chama cha shule za upili KESHA kufika mbele yake.

Na Waihenya Isaac, Maseneta wamemtaka waziri wa elimu George Magoha pamoja na wakuu wa chama cha shule za upili KESHA kufika mbele yake kutoa maelezo kuhusiana na kukithiri kwa visa vya uteketezaji wa majengo ya shule. Maseneta hao aidha wamelalamikia utovu wa nidhamu ya wanafunzi miongoni mwa wanafunzi vilevile kipindi[Read More…]

Read More

Serekali yatakiwa kuzidisha mpango wa kusambaza chakula cha msaada kwa wenyeji wa maeneo yanayokumbwa na ukame. – Mbunge wa North Horr Chachu Ganya.

Na Adano Sharawe, Mbunge wa North Horr Chachu Ganya ametoa mwito kwa serikali kuu kuzidisha mpango wa kusambaza chakula cha msaada kwa wenyeji wa maeneo yanayokumbwa na ukame. Akiunga mkono muswada kuhusu ukame bungeni, Ganya ametaja kuwa idadi ya wananchi wanaozidi kuadhirika inazidi kuongezeka kila kuchao na kwamba serikali haina[Read More…]

Read More

Inter Faith Marsabit yakashifu vikali mauaji yanayoshuhudiwa hapa jimboni.

By Silvio Nagori, Baraza la madhehebu mbali mbali tawi la Marsabit limekashifu vikali mauaji yanaendelea kushuhudiwa hapa jimboni. Wakizungumza na waandishi wa habari hapa mjini Marsabit viongozi hao wamewataka wananchi kutolipiza kisasi jambo ambalo wamesema  kuwa linachangia katika vurugu za mara kwa mara. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Askofu wa jimbo[Read More…]

Read More

Wanaume watano wamefikishwa kizimbani katika mahakama ya Marsabit kwa makosa ya wizi kinyume cha sheria kwenye kesi mbili tofauti.

Picha;Radio Jangwani By Grace Gumato, Wanaume watano wamefikishwa kizimbani katika mahakama ya Marsabit kwa makosa ya wizi kinyume cha sheria kwenye kesi mbili tofauti. Ramadhan Halkano, Diba Golicha, Abdi Hirbo na Hussein Yussuf walikamatwa jana Jumanne ambapo wameshtakiwa kwa makosa ya kumuibia mfanyibiashara Isacko Orto mashine ya kusaga nyasi ya[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter