Idara ya jinsia kaunti ya Marsabit yalaani kisa cha mauaji ya watoto wawili mapacha katika eneo la Dololo,North Horr.
January 23, 2025
regional updates and news
By Mark Dida, Wafanyabiashara mjini Marsait, wamelalamikia kile wanachosema ni hatua ya maafisa wa idara ya kuzoa taka katika kaunti ya Marsabit, kujikokota kuondoa taka mjini humu. Wamesema kuwa taka hizo ambazo zimerundikana katikati ya mji, zinatoa uvundo kiasi cha kuyumbisha biashara zao. Wanataka taka hizo kuondolewa haraka iwezekanavyo, wakisema[Read More…]
By Waihenya Isaac, Mwenyekiti Wa Muungano Wa Madaktari Nchini KMPDU Dr. Samuel Oroko Ametaka Serekali Kuchukulia Kwa Maanani Wahudumu Wa Afya Nchini Ili Kuwaepusha Na Hatari Inayowakondolea Macho Ya Maambukizi Ya Korona. Akizungumza Jijini Nairobii Oroko Ametaja Kuwa Ni Jambo La Kughadhabisha Mno Kuona Kuwa Serekali Bado Inaendeleza Ajenda Ya[Read More…]
By Samuel Kosgei, Naibu Wa Rais Dkt William Ruto Amejitokeza Na Kukashifu Vikali Wanasiasa Anaosema Kuwa Wanaweka Maslahi Yao Mbele Haswa Wakti Huu Wahudumu Wa Afya Wanapogoma. Akizungumza Katika Kaunti Ya Kericho Alipohudhuria Mazishi Ya Luteni Mstaafu John Koech, Ruto Anasema Kuwa Taifa Lipo Kwenye Janga Kuu La Kimataifa Na Hivyo Kusema[Read More…]
Picha; Hisani By Mark Dida. Huku Mgomo Wa Wauguzi Na Matabibu Ukiendelea Kote Nchini, Wauguzi Na Matabibu Katika Hospitali Za Umma Kaunti Ya Marsabit Wametangaza Kuwa Wataendelea Na Kazi. Katika Hospitali Ya Rufaa Ya Marsabit, Wauguzi Na Matabibu Wanaendelea Kuwahudumia Wagonjwa, Huku Afisa Mkuu Mtendaji Wa Hospitali Ya Marsabit Liban[Read More…]
By Statehouse President Uhuru Kenyatta has urged young Kenyan scientists to expend their energies wisely and remain focused so as to come up with cutting edge innovations that will help thrust Kenya into global scientific stardom. The President challenged the budding scientists, engineers and innovators to work towards entrenching Kenya’s[Read More…]