Local Bulletins

regional updates and news

Shule 6 Za Wanafunzi Wanaoishi Na Ulemavu Kaunti Ya Marsabit Kupewa Msaada Wa Kujikinga Dhidi Ya Maambukizi Ya Covid-19.

Picha; Hisani Na Adho Isacko, Huku Ulimwengu Ukiadhimisha Siku Ya Walemavu Hiyo Jana Sherehe Za Kila Mwaka Katika Kaunti Ya Marsabit Hazikufanyika Mwaka Huu Kwa Sababu Ya Mlipuko Wa Covid-19. Akizungumza Na Radio Jangwani Kwa Njia Ya Simu, Afisa Mkuu Wa Huduma Ya Watu Wenye Ulemavu Katika Kaunti Ya Marsabit[Read More…]

Read More

Kinara Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Asema Kilichosalia Kwenye BBI Ni Mchuano Wa ‘Ndio Au La’.

Picha;Hisani. Na Samuel Kosgei, Kinara Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Amesema Kuwa Safari Ya Kufanyia Katiba Mageuzi Tayari Imeng’oa Nanga Na Hakuna Cha Kurejea Nyuma Tena Kwenye Mchakato Huo Tena. Odinga Akizungumza Alipokuwa Akipokezwa Saini Zote Zilizokusanywa Wiki Moja Iliyopita Ili Kufanikisha Marekebisho Ya Katiba Amesema Kuwa Wakti Wa Kukusanywa[Read More…]

Read More

Waziri Yatani Atangaza Ushuru Ulioshushwa Kudhibiti Janga La Corona Kurejea Kuanzia Januari 1, 2021.

Picha;Hisani Na Adano Sharawe, Waziri Wa Fedha Ukur Yatani Ametangaza Kuwa Ushuru Ulioshushwa Kudhibiti Janga La Corona Utarejea Katika Hali Ya Kawaida Kuanzia Januari 1, 2021. Hata Hivyo, Yattani Amesema Wale Wanaopokea Mshahara Wa Chini Ya Sh24, 000 Wataendelea Kufurahia Ushuru Wa Mapatao Uliopunguzwa Kwa Asilimia 100. Akizungumza Leo Jijini[Read More…]

Read More

Spika Wa Bunge La  Seneti Ken Lusaka  Kupokea Azimio La Bunge La Kaunti Ya Nairobi La Kumbandua Gavana Wa Nairobi Mike Sonko Mamlakani

Picha: Hisani By Waihenya Isaac, Spika Wa Bunge La  Seneti Ken Lusaka  Anatarajiwa Kupokea Azimio La Bunge La Kaunti Ya Nairobi Kupitisha Hoja Ya Kumuondoa Mamlakani Gavana Wa Nairobi Mike Sonko. Hii Ni Baada Ya Hoja Ya Kutokuwa Na Imani Na  Gavana Sonko Kupitishwa Hiyo Jana Ambapo Wakilishi Wadi  88[Read More…]

Read More

Upepo Ulioandamana Na Mvua Wang’oa Paa Ya Darasa Moja Na Ofisi Ya Walimu, Katika Shule Ya Upili Ya Helu Eneobunge La Moyale.

Picha: Hisani Na Samwel Kosgei, Shule Ya Upili Ya Helu Iliyoko Eneobunge La Moyale Kaunti Hii Ya Marsabit Inakadiria Hasara Ya Maelfu Ya Pesa Baada Ya Upepo Iliyoandamana Na Mvua Kung’oa Paa Ya Darasa Moja Na Ofisi Ya Walimu. Akizungumza Na Shajara Ya Jangwani Kwa Njia Ya Simu Mwalimu Wa Shule Hiyo[Read More…]

Read More

Kenya Yaungana Na Ulimwengu Mzima Kuadhimisha Siku Ya Kupambana Na Ukimwi Duniani

By Adano Sharawe & Sanwel Kosgei, Kenya Inaungana Na Ulimwengu Mzima Katika Maadhimisho Ya Siku Ya Kupambana Na Ukimwi Duniani Wakati Ambapo Dunia Nzima Inajizatiti Kukabiliana Na Maambukizi Ya Virusi Vya Covid-19. Wataalam Wanaonya Kuwa Juhudi Zilizoafikiwa Za Kukabiliana Na UKIMWI, Huenda Zikapotea Kwani Nguvu Nyingi Kwa Sasa Zinatumika Katika Vita[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter