Local Bulletins

regional updates and news

Wanafunzi Ambao Hutegemea Basari Ya Hazina Ya CDF Kukimu Karo Huenda Wakasalia Nyumbani Wakati Shule Zitakapofunguliwa Mwezi Ujao.

By Adano Sharawe. Wabunge wameonya kuwa maelfu ya wanafunzi kutoka familia masikini na zisizojiweza pamoja na mayatima ambao hutegemea bursari ya hazina ya CDF kukimu karo huenda wakasalia nyumbani wakati shule zitakapofunguliwa mwezi ujao. Wabunge wanasema hawajapokea mgao wa fedha za hazina ya ustawi wa maeneobunge yao (NG-CDF) kwa miezi[Read More…]

Read More

NCIC Yaapa Kuwachukua Hatua Kali Wanasiasa “Ambao Watavunja Sheria” Wakati Wa Chaguzi Ndogo Zijazo.

By Waihenya Isaac Tume Ya Uwiano Na Utangamano  Nchini NCIC Imeapa Kuwachukua Hatua Kali  Wanasiasa “Ambao Watavunja Sheria” Wakati Wa Chaguzi Ndogo Zijazo. Kupitia Mwenyekiti Wake  Samuel Kobia NCIC  Imetaja Kuwa Imepata Funzo Katika Uchaguzi Mdogo Wa Msambweni, Ambao Uligubikwa Na Cheche Za Chuki Katika  Kipindi Cha Kampeni. Kobia Ameahidi[Read More…]

Read More

Wafanyikazi Wa Kampuni Ya Sino-Hydro Hapa Marsabit Walalamikia Dhulma Za Wachina.

Na Adho Isacko, Mwakilishi  Wa Wadi Ya Marsabit Ya Kati Hassan Jarso Amewasihi Wafanyikazi Wa Kampuni Ya Majitaka Ya Sino-Hydro Kurudi Kazini Kufuatia Mgomo Wao Ambao Umeingia Siku Ya 5 Hii Leo. Akizungumza Nao Nje Ya Afisi Ya Kamishna Wa Kaunti Hii, Jarso Amewaambia Kuwa Wameweza Kuzungumza Na Maafisa Wakuu[Read More…]

Read More

IEBC Yakabidhiwa Sahihi Za BBI.

  Na Waihenya Isaac, Ofisi Kuu Inayoshughulikia Mchakato Wa BBI Pamoja Na Wanaounga Mkono Suala Hilo Nchini Leo Wamekabidhi  Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka IEBC Sahihi Za BBI Zaidi Ya Milioni Tatu Walizokusanya Wakti Wa Zoezi La Ukusanyaji Sahihi. Timu Hiyo Inayoongozwa Na Kinara Wa Wachache Bungeni Junet Mohammed[Read More…]

Read More

Aliyekuwa Mbunge Wa Jimbo La Arusha Mjini,Godbless Lema,Apata Hifadhi Ya Kisiasa Nchini Canada.

Na Samuel Kosgei, Aliyekuwa Mbunge Wa Jimbo La Arusha Mjini, Godbless Lema, Aliyetorokea Kenya Mwezi Uliopita Kutokana Na Madai Ya Maisha Yake Kuwa Hatarini Nchini Tanzania Hatimaye  Amepata Nafasi Ya Hifadhi Ya Kisiasa Nchini Canada. Wakili Wake George Luchiri Wajackoyah Amethibitisha Kuwa Lema Aliondoka Jana Kenya Akiwa Na Familia Yake.[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter