WAKAAZI WA MARSABIT WATAKIWA KUTUMIA MVUA ZA SASA KUPANDA CHAKULA CHA MUDA MFUPI
November 26, 2024
regional updates and news
By Waihenya Isaac, Wakazi wa kaunti ya Samburu waamrishwa kuwasilisha bunduki haramu ambazo wanamiliki kama njia moja ya kuimarisha usalama Katika kaunti hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa polisi Katika kaunti ya samburi Samson Ogelo amesema kuwa Bunduki haramu kumi na saba zimetolewa mikononi mwa raia katika kipindi[Read More…]
By Jillo Dida Jillo, Aliyekuwa waziri Marehemu Simeon Nyachae atapumuzishwa katika hafla ya siri mnamo siku ya Jumatatu Feb 15 mwaka huu nyumbani mwake Nyosia kijijini Nyaribari Chache katika kaunti ya Kisii. Haya ni kulingana na Taarifa kutoka kamati na Familia lake ikiongozwa na mwanawe Charles Nyachae. Aidha ibada ya[Read More…]
By Samuel Kosgei, Utafiti mpya uliofanywa sasa unaonesha kuwa asilimia 70 ya vijana nchini watapiga kura kuangusha mpango mzima wa (BBI) ikiwa ingefanyika leo huku asilimia 30 wakiunga mkono. Utafiti huo uliotolewa na Taasisi ya Emerging Leaders Foundation (ELF) Afrika, umefichua kuwa asilimia 40 wavulana wataipinga huku asilimia 21 wakiunga[Read More…]
By Waihenya Isaac, Tume ya uiano na utengamano Nchini NCIC imetoa onyo kwa wanasiasa wanaotumia mazishi kama jukwa la kueneza chuki baina ya wananchi. Akizungumza na vyombo vya habari mwenyekiti wa tume hiyo Samuel Kobia amesema kuwa NCIC itahakikisha kuwa wananchi wanadhibitiwa ili kuzuia mgawanyiko Nchini. Kadhalika Tume hiyo imetoa[Read More…]
Picha;Hisani By Samuel Kosgei, HUKU utovu wa nidhamu shuleni ukizidi kushuhudiwa na shule kadhaa kuteketezwa na wanafunzi nchini, wito wa suluhu kupatikana unazidi kutolewa na viongozi wa kidini. Kufikia sasa shule zaidi ya 10 zimeteketezwa na wanafunzi kote nchini. Akizungumza na shajara ya radio jangwani, askofu wa kanisa la[Read More…]
By Silivio Nangori, Kamishna wa kaunti ya Marsabit Paul Rotich amewarai wazazi kuwaelekeza watoto wao katika maswala mengi za maisha na katika masomo yao ili kupunguza utovu wa nidhamu. Akizungumza na kituo hiki Rotich amesema kwamba asilimia 97% ya wanafunzi wa shule za msingi na asilimia 96 ya wale wa[Read More…]
By Jillo Dida Jillo, Wanaume 12 wamefikishwa,mbele ya mahakama ya Marsabit kwa kosa ya kuendesha piki piki bila stakabadhi hitajika. 12 hao walikamatwa na maafisa wa trafiki jumapili tarehe 31 mwezi Januari mwaka huu katika soko la Merile kaunti ndogo ya Marsabit Kusini. Wameshtakiwa kwa makosa ya kuendesha piki piki[Read More…]
By Mark Dida & Silvio Nangori Wachuuzi kutoka kaunti ya Marsabit eneo Bunge la Saku wameandamana hii leo wakilalamika kuhusu nyongeza ya Kodi kutoka shilingi 20 Hadi 100. Miongoni mwa malalamishi yao ni kwamba wanaokusanya Kodi wanafanya shughuli hiyo kwa ubaguzi jambo ambalo wengi wanadai ni hali ya kudhulumiwa ikizingatiwa[Read More…]
By Jillo Dida, Siku moja baada ya tume ya uwiano na utangamano kuonya dhidi ya Mjadala wa walala hoi na walala hai yaani hustlers na dynasties kwa madai kuwa inakosanisha wakenya baadhi ya wakaazi tuliozungumza nao hapa marsabit wamedai kuwa Kenya iteendelea kugawanyika Zaidi kwenye msingi wa maskini na matajiri. Gumzo hilo[Read More…]
By Samuel Kosgei, Mashirika ya Kimataifa ya kushughulikia matakwa ya walimu sasa yanataka mzozo wa muda baina ya Tume ya Huduma za Walimu,TSC na Chama cha Kitaifa cha Walimu, KNUT kutatuliwa kwa haraka na Rais Uhuru Kenyatta Mashirika hayo mawili, Education International na International Trade Union Confederation, yameitaka TSC kukoma kuwaondoa walimu[Read More…]