Local Bulletins

regional updates and news

Mwanaume mmoja wa miaka 50 ameuawa na wezi wa mifugo katika eneo la Shrine eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit.

Na Isaac Waihenya na Samuel Kosgei Mwanaume mmoja wa miaka 50 ameuawa na wezi wa mifugo katika eneo la Shrine eneobunge la Saku kaunti hii ya Marsabit. Kulingana na kamanda wa polisi kaunti ndogo ya Marsabit ya Kati Johnston Wachira ni kuwa mbuzi 100 waliibwa na majambazi hao waliojihami kwa[Read More…]

Read More

Gavana wa Marsabit Mohamud Ali, amewateua maafisa wakuu 24 kushikilia idara mbalimbali katika serekali yake.

Na Isaac Waihenya, Gavana wa Marsabit Mohamud Ali, amewateua maafisa wakuu 24 kushikilia idara mbalimbali katika serekali yake. Ishirini na nne hao wameteuliwa kutoka kwa orodha ya watu 101 walioitwa kuhojiwa. Kwenye taarifa iliyosomwa na katibu wa kaunti Ibrahim Sora ni kuwa idadi hiyo ni tano zaidi ikilinganishwa na 19[Read More…]

Read More

Wazee kutoka upande wa Merile wa Marsabit na Sereolipi upande wa Samburu kwa pamoja walaani vijana na wahalifu wanaowahangaisha wapita njia na wanabiashara wa mifugo katika Barbara kuu ya Isiolo – Moyale.

Na Samuel Kosgei, Wazee kutoka upande wa Merile wa Marsabit na Sereolipi upande wa Samburu kwa pamoja wamelaani vijana na wahalifu wanaowahangaisha wapita njia na wanabiashara wa mifugo katika Barbara kuu ya Isiolo – Moyale. Wazee hao waliopatana katika eneo la Milima Mitatu upande wa Samburu Mashariki wameapa kuwa wakati[Read More…]

Read More

Serekali yatakiwa kuwachukulia hatua machifu na manaibu wao ambao wanaruhusu visa vya wizi wa mifugo kufanyika katika maeneo yao.

Na Isaac Waihenya, Serekali imeitakiwa kuwachukulia hatua machifu na manaibu wao ambao wanaruhusu visa vya wizi wa mifugo kufanyika katika maeneo yao. Kwa mujibu wa naibu mwenyeketi wa baraza la dini mbalimbali katika jimbo la Marsabit InterFaith, Sheikh Mohamed Noor ni kuwa machifu huwa na ufahamu wa kila jambo linaloendela[Read More…]

Read More

Jumla ya shule za msingi 120 za umaa na za kibinafsi kaunti ya Marsabit zimetajwa kuwa na uwezo wa kuwa na shule za upili ngazi ya chini Junior Secondary.

Na Isaac Waihenya Tayari kaunti ndogo tano katika kaunti ya Marsabit ambazo ni Marsabit Central, Sololo, Loyangalani, Turbi/Bubisa na Chalbi zimekamilisha zoezi la ukaguzi wa shule za msingi, za kibinafsi na za umaa kuhusiana na uwezo wa shule hizo kuwa na shule za upili ngazi ya chini Junior Secondary. Kufikia[Read More…]

Read More

Viongozi wa jamii ya Rendille wakashifu vikali mauaji yaliyofanyika eneo la Yell Kurkum eneo bunge la Laisamis.

Na Emmanuel Amalo, Viongozi wa jamii ya Rendille wamekashifu vikali mauaji yaliyofanyika eneo la Yell Kurkum eneo bunge la laisamis. Wakizumgumza na vyombo vya habari  jijini la Nairobi  wakiongozwa na aliyekuwa anawania kiti cha Ugavana Sunya Orre viongozi hao waliitaka serikali  kuchukua hatua kali kwa wahusika. Aidha wanaitaka serikali  kurejesha[Read More…]

Read More

Zoezi la kukagua shule zote za msingi za umaa na kibinafsi limeongoa nanga hii leo katika kaunti ya Marsabit.

Na Isaac Waihenya, Zoezi la kukagua shule zote za msingi za umaa na kibinafsi limeongoa nanga hii leo katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa msimamizi wa kiwango cha ubora wa elimu katika kaunti ya Marsabit Mumas Wanyama ni kuwa zoezi hilo ambalo linatarajiwa kuendelea hadi tarehe 20 mwezi huu[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter