Local Bulletins

regional updates and news

WAZIRI WA FEDHA KAUNTI YA MARSABIT ADAN KANANO AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MWEZI MMOJA GEREZANI KWA KOSA LA KUDHARAU MAHAKAMA

Na Isaac Waihenya Waziri wa fedha katika serekali ya kaunti ya Marsabit Adan Kanano amehukumiwa kifungo cha mwezi mmoja gerezani kwa kukosa kumlipa mlalamshi Petro Namweni Lochich kima cha shilingi 7,181,835 kama alivyoamrishwa na mahakama mnamo tare 15 mwezi Oktoba mwaka wa 2019. Akitoa uamuzi huo hii leo katika MAHAKAMA[Read More…]

Read More

VIONGOZI WA KIDINI MARSABIT WAWATAKA WAZAZI KULEA WANAO KWA NJIA YA MAADILI

NA JOHN BOSCO NATELENG Mwenyekiti wa muungano wa viongozi wa Kiislamu kaunti ya Marsabit (MAMLEF) Sheikh Ibrahim Oshe amewataka wazazi katika kaunti ya Marsabit kuchukua majukumu ya kuhakikisha kuwa wamewalea wanawao katika mazingira mema ili kusaidia katika kukabiliana na matumizi ya mihadarati. Oshe amesema kuwa utepetevu wa ulezi ndio unachangia[Read More…]

Read More

SHIRIKA LA MPANGO WA CHAKULA ULIMWENGUNI (WFP) LAZINDUA PROGRAMU YA CHAKULA KWA WATOTO WA (ECDE) MARSABIT.

NA EBENET APIYO Shirika la mpango wa chakula ulimwenguni (WFP) limezindua rasmi programu ya chakula kwa watoto wa shule za chekechea (ECDE) katika kaunti ya Marsabit. Masuala yaliyopewa kipaumbele kwenye uzinduzi huo ni pamoja na usalama wa chakula, biashara na uwekezaji na mwongozo wa utekelezaji wa sera za chakula. Mkurugenzi[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter