HAMASISHO DUNI KUHUSU BIMA YA SHA NDIO SABABU KUU YA WATU KUTOJISAJILI KWA WINGI KAUNTI YA MARSABIT.
December 3, 2024
Na Ebinet Apiyo
Huku idara ya wanyama pori KWS ikijiandaa kusherehakea siku ya World Rangers Day hapo kesho baadhi ya mafisaa katika idara hiyo wamewatembea maakazi ya watoto wa walemavu ya Fatima Childrens Home yaliyopo katika eneo la Dirib Gombo katika eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit.