Idadi chache ya wanafunzi waripoti shuleni wiki ya kwanza ya muhula huu…
January 10, 2025
regional updates and news
Na Grace Gumato Mahakama ya Marsabit imemuhukumu kifungu cha miaka miwili gerezani mwanaume mmoja mwenye umri wa makamu kwa kosa la kupiga na kuumiza mtu. Mshukiwa Kamau Kamotho anadaiwa kuwa mnamo tarehe 18 mwezi huu almjeruhi vibaya mlalamishi Adan Isaak wakiwa mjini Marsabit eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit.[Read More…]
NA ISAAC WAIHENYA Baadhi ya wazee wa baraza la wazee wa jamii ya Gabra wamemtembea mmoja wa walionusurika katika kisa cha mauaji yaliyotekelezwa wiki jana na watu wasiojulikana katika eneo la Elle-Dimtu ambapo watu wanane waliuwawa na kisha kuteketezwa. Wakiongozwa na mwenyekiti wa baraza hilo Shama Boy Wario wazee hao[Read More…]
Na Talaso Huka Vijana wawili wamejeruhiwa usiku wa kuamkia leo baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana. Tukio hilo lilitokea eneo la Karantina, Saku kaunti ya Marsabit. Akidhibitisha kisa hicho kamanda wa polisi kaunti ya Marsabit Leonard Kimaiyo amesema kuwa uchunguzi unaendelea huku akibainisha kuwa lengo la mavamizi hayo[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Viongozi wa kisiasa na wa kijamii kutoka maeneo ya Dukana, Turbi, Maikona na North Horr wamepewa hamasa kuhusiana na namna na faida za kusajili ardhi ya jamii katika kaunti ya Marsabit. Kwenye mkao ulioandaliwa hii leo na mashirika yasiyoyakiserekali ya IREMO na PISP ambao umewalata pamoja, MaMCAs wa[Read More…]
Na Grace Gumato, Mkurugenzi wa mamlaka ya kupambana na majanga NDMA kaunti ya Marsabit, Guyo Golicha amewathahadharisha wanaMarsabit kuhusiana na hatari ya uhaba wa chakula katika kipindi cha miezi mitatu ijayo. Akizungumza na idhaa hii afisini mwake Golicha amekariri kuwa kaunti hii itaweza kushuhudia hali ya ukame ambayo itasababisha upungufu wa[Read More…]
Na Talaso Huka na Elias Jalle, Serekali imetakiwa kuingilia kati na kutatua maswala yaliyoibuliwa na walimu ili kuzuia mgomo ulioratibiwa kufanyika mwanzoni mwa muhula ujao. Kwa mujibu wa katibu mtendaji wa Chama cha walimu ya KNUT tawi la Marsabit Rose Mary Talaso ni kuwa hilo litahakikisha kwamba wanafunzi wataendelea na[Read More…]
Na Isaac Waihenya Kufuatia kisa cha hivi maajuzi ambapo mtoto wa siku moja alipatikana akiwa ametupwa katika shimo la choo katika kituo cha kibiashara cha Illaut Korr, viongozi wa vijana na wale wa serekali katika eneo hilo chini ya uongozi wa shirika Young Dreams wameandaa kikao cha kutoa hamasa kwa[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Mkurugenzi wa shirika la IFPC Hassan Mulata amekanusha madai kwamba kuna baadhi ya vijana waliotegwa katika sherehe za kuadhimisha siku ya kimataifa ya vijana iliyoandaliwa katika shule ya upili ya Moi Girls hapa mjini Marsabit. Akizungumza na Radio Jangwani kwa njia ya kipekee mulata ambaye alikuwa mmoja wa waandaaji wa hafla[Read More…]
Na Caroline Waforo, Watu watatu akiwemo mtoto wa miaka saba wanauguza majeraha baada ya lori kupoteza mwelekeo na kuingia ndani ya nyumba ya makazi katika mtaa wa Shauri Yako wadi ya Marsabit Central kaunti ya Marsabit. Mama na mwanawe wa miaka 7 walikuwa ndani ya nyumba hiyo wakati wa kisa[Read More…]
Na Caroline Waforo, Magonjwa ya tumbo, gastritis, mafindofindo au tonsillitis pamoja na ugonjwa wa kisukari diabetes ni kati ya magonjwa yanaonekana kuwaathiri wengi wa wagonjwa katika kaunti ya marsabit. Hii imebainika wakati wa utoaji wa huduma za bure za matibabu zilizotolewa na Membley Community Chapel kwa ushirikiano na serikali ya[Read More…]