Mfumo wa kutatua kesi nje ya mahakama (AJS) wazinduliwa rasmi,Marsabit.
November 23, 2024
regional updates and news
.NA JohnBosco Nateleng Kaunti ndogo ya Loiyangalani imeweza kutawala mashindano ya shule za msingi na JSS muhula huu kitengo cha kaunti baada ya kushinda voliboli pamoja na kandanda kwa mashindao hayo shule ya msingi na voliboli kwa shule ya msingi nganzi ya juu JSS. Akizungumza na idhaa hii katika shule[Read More…]
. Na Samuel Kosgei Muungano wa kitafa wa walimu KNUT tawi la Marsabit umeonesha wasiwasi wake kutokana na bajeti ya tume ya kuajiri walimu TSC kupunguzwa na serikali kwenye mabadiliko mapya yanayoshuhudiwa katika idara zote za serikali. Katibu mkuu wa muungano huo wa KNUT tawi la Marsabit Rosemary Talaso Haro[Read More…]
Na Samuel Kosgei IDARA ya utabiri wa hali ya hewa Marsabit imesema kiwango joto cha sentigredi zaidi ya 30 wakati wa mchana itashuhudiwa katika sehemu kadha za Marsabit ikiwemo kaunti ndogo za North Horr na Laisamis. Kiwango joto nyakati za usiku haswa kaunti ndogo ya Saku inatarajiwa kushuka hadi sentigredi[Read More…]
Na Samuel Kosgei Muungano wa waandishi wa habari kaunti ya Marsabit wamejiunga na wenzao kote nchini kushutumu dhulma na mashambulizi ya polisi dhidi ya waandishi wa habari wanaopeperusha taarifa. Mwenyekiti wa muungano huo wa wanahabari Michael Kwena akizungumza na meza yetu ya habari amesema kuwa wanahabari wa hapa Marsabit wanasimama[Read More…]
Na Caroline Waforo Huku serikali ikiendelea kutoa ufafanuzi kuhusu uhalali na muda wa matumizi wa vitambulisho vya kidigitali Maisha Card, wakaazi wa Kaunti ya Marsabit wametakiwa kupuuza propaganda zinazoenezwa kuhusiana na uhalali na muda wa vitambulisho hivyo. Akizungumza na Shajara afisini mwake afisa wa usajili jimboni Marsabit Michael Oduor ameweka[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Msimamizi wa kiwango cha ubora wa elimu katika kaunti ya Marsabit Mumas Wanyama ameuchangamoto usimamizi wa hazina ya maeneo bunge CDF katika kaunti ya Marsabit kuhakikisha kwamba kila shule ya msingi nganzi ya juu JSS ina maabara. Akizungumza katika shule The Tiigo eneo la Turbi wakati wa hafla ya mashindano ya shule[Read More…]
Na Grace Gumato Mshukiwa anayedaiwa kupora dula la jumla la Basmart mjini Marsabit amefikishwa katika mahahakama ya marsabit hii leo kwa kosa la wizi wa kimabavu. Mshukiwa Hendry Halkana George anadaiwa kuwa mnamo tarehe 6 mwezi huu katika duka la jumla la Basmart iliyoko katika mtaa ya saku kaunti ya[Read More…]
Mashindano ya Muhula wa pili ya shule ya msingi na JSS kitengo cha kaunti yameng`oa nanga hii leo katika eneo bunge la Saku. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipee mwalimu Abdud anayesimamia michezo katika shule ya msingi ya Manyatta Jillo amesema kuwa shule zote zilizoweza kufuzu katika[Read More…]
Na Carol Waforo Idara ya usalama katika eneo bunge la Laisamis kaunti ya Marsabit imelaumiwa pakubwa kwa utepetevu na hivyo kuchangia ongezeko la Visa vya dhulma za kijinsia katika eneo hilo. Hii ni kutokana na idadi ya juu ya madai vya visa vya ubakaji pamoja na ukeketaji wa mtoto msichana[Read More…]
NA SILVIO NANGORI Dhulma za kijinsia katika kaunti ya Marsabit zinazidi kuendelezwa licha ya kuwepo kwa kampeni mbali mbali za kuasi mila hizo potofu kutoka kwa mashirika za kibinafsi pamoja na serikali. Kwa mujibu wa afisa wa jinsia katika serekali ya kaunti ya Marsabit Rose Orre ni kuwa jamii inawaficha wanaoendeleza dhulma za[Read More…]