Local Bulletins

regional updates and news

Gavana Wa Kaunti Ya Kakamega Wycliffe Oparanya Amtaka Kinara Wa ODM Raila Odinga Kuunga Mkono Azma Yake Ya Kuwania Urais Mwaka 2022.

By Waihenya Isaac, Gavana wa Kaunti ya Kakamega Wycliffe Oparanya ameelezea matumaini ya kupata tiketi ya chama cha ODM ili kuwania urais mwaka wa 2022. Oparanya, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Magavana nchini, amesema atatuma ombi la kuteuliwa ili kujiunga na wale watakaopigania tiketi ya chama hicho ya kuwania[Read More…]

Read More

Tume Ya Uiano Na Utengamano Nchini NCIC Inangangana kuwarejesha viongozi wa kaunti ya Marsabit Katika meza ya mazungumzo baada ya mazungumzo ya hapo awali kusabaratika.

By Waihenya Isaac, Tume Ya Uiano Na Utengamano Nchini NCIC Inangangana kuwarejesha viongozi wa jimbo hili Katika meza ya mazungumzo baada ya mazungumzo ya hapo awali kutawanyika. Hayo ni kwa mujibu wa kamishna wa tume hiyo Denvas Makori. Akizungumza na Idhaa hii kwa njia ya simu, Makori ametaja swala la[Read More…]

Read More

KWS Marsabit Yatoa Wito Wa Uwepo Amani Ili Utalii Uimarike Jimboni.

By Mark Dida, Naibu  mkurugenzi wa shirika la kuhifadhi wanyama pori kaunti ya Marsabit Robert Obran amesema kuwa wanaendelea kufanyia tafiti pembe za ndovu zilizopatikana na majangili waliotiwa mbaroni na maafisa wa kulinda msitu KWS ili mahakama  kufanya maamuzi. Hata hivyo Obran ametoa uwito kwa wakaazi wa Marsabit kuchukua jukumu[Read More…]

Read More

Tume Ya Uiano Na Utengamano Nchini NCIC Imewaonya Wanasiasa Dhidi Ya Kutumia Matamshi Ya Hustler Na Dynasty.

By Waihenya Isaac, Tume Ya Uiano Na Utengamano Nchini NCIC Imewaonya Wanasiasa dhidi Ya Kutumia matamshi ya walala hoi na walala hai kwenye kampenzi zao kwa sababu yanalenga kuwagawanya wakenya. Kwenye Kongamano la kuwahamasisha wanahabari Makamishna wa  tume hiyo Philip Okundi Na Dorcas Kidogo wamesema kuwa matamshi hayo yatawagawanya wakenya[Read More…]

Read More

Zaidi Ya Vijana 2,000 Katika Kaunti Ya Marsabit Walijitokeza Kwenye Zoezi La Kusajiliwa Kama Vibarua Katika Shirika La Huduma Kwa Wanyamapori Nchini KWS.

By Mark Dida, Zaidi Ya Vijana 2,000 Katika Kaunti Ya Marsabit Walijitokeza Kwenye Zoezi La Kusajiliwa Kama Vibarua Katika Shirika La Huduma Kwa Wanyamapori Nchini KWS. Naibu Mkurugenzi Mkuu Wa KWS Kaunti Ya Marsabit Robert Obrein Amesema Wamesajili Vijana 93 Kutoka Kaunti Zote Ndogo Jimboni Kati Ya Vijana Zaidi Ya[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter