Mfumo wa kutatua kesi nje ya mahakama (AJS) wazinduliwa rasmi,Marsabit.
November 23, 2024
regional updates and news
Na Carol Waforo Idara ya usalama jimboni Marsabit imeongeza idadi ya maafisa wa polisi kushika doria katika mgodi wa Hillo ulioko eneo la Dabel eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit. Hili limethibitishwa na kamanda wa polisi kaunti ya Marsabit Leonard Kimaiyo ambaye pia amedokeza kuwa wamewaondoa maafisa waliokuwa wakishika[Read More…]
NA ISAAC WAIHENYA Naibu kamishna katika kaunti ndogo ya Loiyangalani kaunti ya Marsabit Njihia Kiarie amekanusha madai kwamba maafisa wa usalama katika eneo hilo wamekuwa wakizima vita dhidi ya dhulma za kijinsia kwa kuficha baadhi ya kesi. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya simu DCC Kiarie ametaja[Read More…]
NA JOHN BOSCO NATELENG Mwenyekiti wa muungano wa viongozi wa Kiislamu kaunti ya Marsabit (MAMLEF) Sheikh Ibrahim Oshe amewataka wazazi katika kaunti ya Marsabit kuchukua majukumu ya kuhakikisha kuwa wamewalea wanawao katika mazingira mema ili kusaidia katika kukabiliana na matumizi ya mihadarati. Oshe amesema kuwa utepetevu wa ulezi ndio unachangia[Read More…]
NA EBENET APIYO Shirika la mpango wa chakula ulimwenguni (WFP) limezindua rasmi programu ya chakula kwa watoto wa shule za chekechea (ECDE) katika kaunti ya Marsabit. Masuala yaliyopewa kipaumbele kwenye uzinduzi huo ni pamoja na usalama wa chakula, biashara na uwekezaji na mwongozo wa utekelezaji wa sera za chakula. Mkurugenzi[Read More…]
NA ISAAC WAIHENYA Idara ya watoto katika kaunti ya Marsabit wazazi kuwajibika zaidi katika malezi ili kusaidia katika kupambana na utumizi wa mihadarati. Kwa mujibu wa afisa wa watoto katika kaunti ya Marsabit Abudo Roba ni kuwa ni jukumu la kila mmoja katika jamii na haswa wazazi kuhakikisha kwamba watoto[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Serekali ya kaunti ya Marsabit imekanusha madai kuwa ilihusika katika kukamatwa kwa Seneta wa kaunti ya Marsabit Mohamed Chute na tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC. Kwa mujibu wa msemaji wa serekali ya kaunti ya Marsabit Abdub Barille ni kuwa serekali ya kaunti haukuhusika kwa vyovyote[Read More…]
Na Caroline Waforo Wakaazi kaunti ya Marsabit wametahadharishwa dhidi ya kutuma maombi ya kupata vitambulisho zaidi ya moja. Akizungumza na Shajara afisini mwake afisa wa usajili jimboni Marsabit Michael Oduor amesema kuwa hili litahitilafiana na shughuli za kuchapisha vitambulisho. Hii ni kutokana na malalamishi ya kucheleweshwa kwa vitambulisho kutoka kwa[Read More…]
Na Samuel Kosgei Muungano wa chama cha walimu KNUT tawi la Marsabit umepuuzilia mbali uteuzi wa Julius Migos Ogamba kuwa waziri wa elimu nchini ukidai kuwa hana ujuzi wala tajriba kuhusiana na masuala ya elimu. Kulingana na katibu wa muungano huo wa walimu hapa Marsabit Rosemary Talaso ni kuwa rais William Ruto angemteua mtu[Read More…]
Na Lelo Wako Wanawake wanafaa kuaminiwa katika uongozi nchini Kenya bila kubaguliwa kijinsia. Hiyo ni kauli yake, Sadia Araru ambaye ni mwakilishi wadi mteule katika bunge la kaunti ya Marsabit akieleza kuwa uteuzi wake Soipan Tuya kama waziri wa ulinzi unamfaa. Katika kauli yake, Sadia amekiri kuwa mwanamke pia ana[Read More…]
Na JohnBosco Nateleng Idara ya uvuvi na kilimo jimboni Marsabit imeweza kupeana nyavu 100 kwa wavuvi walioadhirika baada ya nyavu zao kubebwa na maji ya ziwa Turkana. Akizungumza na idhaa hii ofisini mwake Sostine Nanjali ambaye ni afisa kutoka idara ya uvuvi ameelezea kuwa wameweza kuwapa nyavu 50 wavuvi kutoka[Read More…]