Wavuvi Loiyangalani watakiwa kuwa makini dhidi ya mamba ziwani Turkana
NA JB Nateleng Wito umetolewa kwa wavuvi wanaoendesha shughuli zao katika Ziwa Turkana, eneo la…
Maafisa wa usalama watakiwa kuheshimu haki za raia huku operesheni ya kurejesha mifugo 3908 walioibwa ikiendelea, Loiyangalani.
NA JB Nateleng Mwakilishi wadi wa Loiyangalani Daniel Emojo, amewataka maafisa wa usalama kuheshimu na…
Mamlaka ya NDMA yatangaza hali ya ukame na onyo la mapema katika Kaunti ya Marsabit.
NA Samuel Kosgei Mamlaka ya Kitaifa ya Usimamizi wa Ukame, NDMA, katika Kaunti ya Marsabit…
Wafugaji Marsabit walalamikia bei ya chini ya mifugo huku shule zikifunguliwa wiki ya kwanza.
NA Samuel Kosgei Wafugaji jimboni Marsabit wametakiwa kuanza kupunguza mifugo yao kwa kuuza ili wasije…
Wazazi wa shule ya msingi ya Comboni Marsabit waandamana kutokana uongozi wa shule hiyo kubadilishwa.
NA JOHN BOSCO NATELENG Shughuli ya ufunguzi wa shule kwa muhula wa kwanza mwaka huu…
Mwanaume mmoja afariki dunia kufuatia ajali ya barabarani, Kargi
NA CAROL WAFORO Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 63 amefariki dunia kufuatia ajali ya…
Serikali kuu yaanza kufuatilia mienendo ya wanasiasa Marsabit msimu wa siasa ukianza.
NA NYABANDE ORWA Kamishna wa Kaunti ya Marsabit, James Kamau, amesema kuwa serikali inafuatilia kwa karibu…
Junior Police Officer Dies by Suicide in Garissa County
A junior police officer, Constable Hussein Mohamed Sahal, 25, has tragically died by suicide at…
Mwakilishi wa kina mama Naomi Waqo atoa wito kwa serikali kutoa chakula cha msaada kwa wakazi wa kaunti hii.
NYABANDE ORWA Mwakilishi wa wanawake katika Kaunti ya Marsabit, Naomi Jilo Waqo, ametoa wito kwa serikali kuongeza…
Dunia yaadhimisha siku ya jamii za wachache katika Ikulu jijini Nairobi.
NA NYABANDE ORWA Huku dunia ikiadhimisha siku ya jamii za wachache, hapa nchini Kenya jamii…
Gavana wa Marsabit Mohamud Ali aitaka serikali kuu kuharakisha mchakato wa kutoa misaada ya chakula kwa wakazi wa kaskazini mwa nchi.
NA SAMUEL KOSGEI Gavana wa Marsabit Mohamud Ali leo amefanya kikao na Katibu katika wizara…
Jamaa afikishwa mahakamani Marsabit kwa tuhuma za kutishia kumwangamiza mwenzake.
NA NYABANDE ORWA Jamaa mmoja amefikishwa katika Mahakama ya Marsabit kwa tuhuma za kumtishia mwenzake…