Waziri Duale asema kuwa serikali si lazima ishirikishe wananchi kuhusiana na ujenzi kituo cha Ebola Laikipia.
Na JB Nateleng
Waziri wa Afya, Adan Duale, amefika mbele ya wabunge kujibu maswali kuhusu utayari wa serikali katika kukabiliana na tishio la ugonjwa wa Ebola pamoja na mjadala unaoendelea kuhusu kituo cha karantini kilichopendekezwa eneo la Nanyuki, Kaunti ya Laikipia.
Duale amewaambia wabunge kuwa akiba ya vifaa vya kupimia na mavazi ya kujikinga (PPEs) iliyopo sasa inakadiriwa kutosheleza washukiwa takriban 220 wa awali endapo kutatokea maambukizi.
Amesisitiza kwamba serekali ipo ange kulinda wananchi dhidi ya ugonjwa huu wa Ebola.
Aidha, amesema serikali imeimarisha uchunguzi na ukaguzi katika vituo vyote vya kuingia nchini ili kudhibiti na kuzuia uwezekano wa kuingia kwa virusi vya Ebola.
Pia amesema kuwa sio lazima serekali iwahusishe wananchi kwenye ujenzi wa karantini ya ebola akitetea hatua hiyo kwa kusema kwamba ni hatua muhimu ambayo itasaidia nchi kujipanga ipasavyo kupambana na magonjwa kama vile Ebola.
Darrell
My family always say that I am killing my time here at net, but
I know I am getting knowledge every day by reading such good
content.
Allie
I believe this is among the so much significant info for me.
And i am satisfied studying your article. But should commentary on some basic
issues, The web site style is perfect, the articles is actually nice :
D. Just right job, cheers
Valentin
Undeniably consider that which you said. Your favourite reason seemed to bee at
the internet the simplest factor to take into
accout of. I say to you, I certainly get annoyed while other people consider issues that they plainly do not know about.
You manaaged to hit tthe nail upon the top as neatly as
defined out the entire thing without having side-effects , people can take a
signal. Will probably be back to get more. Thank you



3 comments