Author: Editor

WALIOPATA UJAUZITO NA KUKATISHA MASOMO YAO WAREJESHWE SHULENI ILI WAENDELEE NA ELIMU. – ASEMA MKURUGENZI WA ELIMU, KAUNTI YA MARSABIT PETER MAGIRI.

Ni wakati wa kuasi mila potovu na kurusuhu wasichana katika kaunti ya Marsabit kusoma. Haya yamekaririwa na mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri. Akizungumza katika eneo la Kalacha, wakati wa hafla ya wazee wa jamii ya Gabra kupiga marufuku tamaduni ya kuwaoza wasichana waliochini ya umri wa[Read More…]

Read More

ZOEZI LA KUWAPIGA MSASA WATAKAOJINGA NA MAAFISA WA AKIBA NPR KATIKA KAUNTI NDOGO YA MARSABIT NORTH KUNG’OA NANGA HII LEO.

DCC wa eneo la Marsabit North (Maikona) Pius Njeru amewataka wazazi katika kaunti ya Marsabit kuhakikisha kwamba wanawapeleka watoto shuleni bila kuwabagua. Akizungumza katika eneo la Kalacha wakati wa hafla ya wazee wa jamii ya Gabra kupiga marufuku tamaduni ya kuwaoza wasichana waliochini ya umri wa miaka 18, DCC Njeru[Read More…]

Read More

WAZEE WA JAMII YA GABRA (YAA) WAPIGA MARUFUKU TAMADUNI YA KUWAOZA WASICHANA WALIOCHINI YA MIAKA 18.

Sasa ni afueni kwa wasichana kutoka jamii ya Gabra katika kaunti ya Marsabit baada ya wa wazee wa jamii hiyo maarufu YAA kupiga marufuku tamaduni ya kuwaoza wasichana waliochini ya miaka 18. Hafla hiyo iliyofanyika katika eneo la kitamaduni, katika kijiji cha Kalacha na kufadhiliwa na shirika la kutetea haki[Read More…]

Read More

VIONGOZI WA MARSABIT WAMESHAURIWA KUHAMASISHA UMMA KUHUSU RASILIMALI ASILI ZINAZOPATIKANA HAPA JIMBONI.

Viongozi wa Marsabit wameshauriwa kuhamasisha umma kuhusu rasilimali asili zinazopatikana hapa jimboni. Viongozi katika kaunti ya Marsabit wameshauriwa kuhamasisha umma kuhusu rasilimali asili zinazopatikana hapa jimboni. Haya ni kwa mujibu wa mshauri wa Kiutawalawa shirika la NAPO Dr Elizabeth Pantoren Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee Pantoren amesema[Read More…]

Read More

MILA POTOVU KAMA VILE UKEKETAJI NA NDOA ZA MAPEMA BADO ZINAREJESHA NYUMA HATUA ZILIZOPIGWA KATIKA KUINUA MTOTO MSICHANA MARSABIT.

Kuna muda wa kila kitu ila huu ni muda wenu wa masomo. Ndio ushauri wa mtetezi wa haki za kinadamu katika kaunti ya Marsabit Nuria Golo kwa wasichana siku hii ya kusherekea siku ya mtoto msichana ulimwenguni. Akizungumza na Radio Jangwani ofisini mwake, Nuria amewataka wasichana kutumia muda huu kujiimarisha[Read More…]

Read More

WEZI WA MIFUGO KUTOKA KAUNTI JIRANI ZINAZOPAKANA NA KAUNTI YA MARSABIT WAONYWA VIKALI DHIDI YA KUTEKELEZA MASHAMBULIZI JIMBONI MARSABIT.

Wahalifu wa wizi wa mifugo kutoka kaunti jirani zinazopakana na kaunti ya Marsabit wameonywa vikali dhidi ya kutekeleza mashambulizi hapa jimboni Marsabit. Ni onyo ambalo limetolewa na kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau. Onyo hili linajiri kufuatia jaribio la wizi wa mifugo wiki jana katika eneo la Ell Nedeni[Read More…]

Read More

WANANCHI KAUNTI YA MARSABIT WATAKIWA KUASI KASUMBA YA KUKATA MITI ILI KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI.

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya mazingira hii leo wananchi kaunti ya Marsabit wametakiwa kuasi kasumba ya kukata miti ili kupambana na mabadiliko ya tabia nchi. Akizungumza kwenye warsha ya kusherehekea siku ya Mazingira hapa Marsabit mkurugenzi wa Mazingira katika jimbo la Marsabit Janet Ahatho amewataka wakazi wa Marsabit kuishabikia zoezi[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter