MOHAMED NANE AMEWEKA WAZI SABABU YA KUSUSIA UCHANGUZI WA LEO.
November 14, 2024
Na Caroline Waforo Wakaazi jimboni Marsabit wametakiwa kujiepusha na dhana potovu zinaoenezwa kuhusu maambukizi ya ugonjwa wa nyani Mpox. Haya ni kutokana na madai kuwa baadhi ya wakaazi jimboni wanawaua mbwa kwa dhana kuwa wanahusika na maambukizi ya mpox. Tahadhari hii imetolewa na afisa anayefuatilia magonjwa jimboni Marsabit Qabale Duba.[Read More…]
Na Caroline Waforo Visa vya ugonjwa wa Surua au measles vimethibitishwa kuongeza kutoka 7 hadi 11 katika kaunti hii ya Marsabit. Akizungumza na shajara ya radio jangwani kwa njia ya kipekee afisa anayefuatilia magonjwa jimboni Marsabit Qabale Duba amesema kuwa visa hivyo vimerekodiwa katika maeneo bunge ya Moyale na North Horr.[Read More…]
Na JB Nateleng, Kufuatia makubaliano ya kurejea kazini kati ya chama cha walimu wa shule za upili na vyuo va kadri nchini (KUPPET) na tume ya kuwajiri walimu (TSC), walimu sasa wanatarajiwa kurejea shuleni kuendeleza kalenda ya masomo. Akizungumza na wanahabari mjini Marsabit,katibu mtendaji wa KUPPET tawi la Marsabit Sarr[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wito umetolewa kwa jamii ya Marsabit kutowatenga watu wanaoishi na matatizo ya afya ya akili. Kwa mujibu wa mwazilishi wa shirika la Open Minds Community Focus (OMCF) linashughulikia maswala ya afya ya akili hapa jimboni Marsabit Bi. Mariam Abduba ni kuwa jamii imekuwa ikikosa kuwaelewa na hata[Read More…]
Na JB Nateleng, Serekali ya kaunti ya Marsabit ni sharti ihakikishe ya kwamba watu wanaoishi na ulemavu wamewakilishwa katika idara zote kiukamilifu. Hayao yamekaririwa na mwenyekiti wa muungano wawatu wanaishi na ulemavu wa Saku United Disabled Group John Boru Galgallo. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipee Boru amesema[Read More…]
Na Caroline Waforo, Mbunge wa eneo la Northhorr kaunti ya Marsabit Wario Guyo Adhe ni kati ya wabunge kadhaa humu nchini ambao wanaohusishwa na matumizi mabaya ya fedha za hazina ya ustawi wa maeneobunge nchini (NG-CDF). Hii ni kulingana na ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali Nancy Gathungu. Kulinga[Read More…]
Na Caroline Waforo. Idara ya afya kaunti ya Marsabit itaanza kuwafanyia uchunguzi wa homa ya nyani ya MPOX wasafiri wote wanaoingia jimboni. Hii ni kutokana na kuendelea kurekodiwa kwa ugonjwa huo wa MPOX humu nchini pamoja na kisa kinachoendelea kufanyia uchunguzi katika kaunti jirani ya Isiolo. Kulingana na afisa wa[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametakiwa kutunza miche ambayo imepandwa ili kuongezea kiwango cha miti hapa jimboni. Kulingana wa afisa mkuu katika idara ya misitu na mali asili kaunti ya Marsabit Pauline Marleni aliyeongea na Radio Jangwani kwa njia ya kipekee,ni kwamba iwapo jamii haitatunza miche iliyopandwa[Read More…]
Na Talaso Huka Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia mseto kuhusu pendekezo la kuundwa kwa afisi rasmi ya kiongozi wa upinzani. Baadhi ya waliozungumza na Radio Jangwani wameunga mkono pendekezo hilo wakisema kuwa kuundwa kwa ofisi rasmi ya upinzani itasaidia katika kuwajibisha serikali Hata hivyo mmoja wa mkaazi ameonekana kupinga[Read More…]
Na Samuel Kosgei IDARA ya kilimo kaunti ya Marsabit imewataka wakulima katika sehemu za ukulima kaunti hii wazidishe maandalizi yao ya kupanda ili kuepuka kupatwa ghafla na mvua. Afisa wa kilimo katika kaunti ya Marsabit Dub Nura akizungmza na shajara amewataka wakulima kuanza kulima mashamba yao ili wawe tayari kupanda[Read More…]