October 30, 2024
Kaunti ya Marsabit Kuandaa Maonyesho ya Kwanza Kabisa ya Kibiashara Wiki Hii
Na Silvio Nangori Kaunti ya Marsabit inatazamiwa kuandaa maonyesho yake ya kwanza kabisa ya biashara kuanzia wiki hi Alhamisi katika uwanja wa Marsabit. Hafla hiyo ya siku tatu itafunguliwa rasmi na Gavana Mohamud Ali mnamo Alhamisi, Septemba 14 na kufungwa na naibu wake Solomon Gubo Jumamosi, Septemba 16. Angalau waonyeshaji[Read More…]