SARATANI YA UMIO YATAJWA KUONGOZA KAUNTI YA MARSABIT KWA ASILIMIA 33.
November 27, 2024
Onyo kali imetolewa kwa walanguzi wa mihadarati na dawa za kulevya katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa kamishina wa kaunti ya Marsabit James Kamau ni kuwa watakaopatikana wakiuza au kusafirisha mihadarati katika kaunti ya Marsabit watachukuliwa hatua kali za kisheria. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani ofisini mwake, kamishina[Read More…]
Risala za rambi rambi zilisheheni katika misa ya wafu iliyofanyika katika kanisa katoliki ya Maria Consolata (Cathedral) hapa jimboni Marsabit kwa ajili ya kuombea mwendazake Gabriel Gambare aliyekuwa meneja wa Tume ya Haki na Amani (CJPC) katika shirika la Caritas Marsabit. Gambare ametajwa kama mtu aliyejijali na kuwasaidia wasiojiweza katika jamii, na alikuwa[Read More…]
IDARA ya utabiri wa hali ya hewa kaunti ya Marsabit imesema kuwa rasha rasha za mvua wakati wa asubuhi, mchana na hata usiku zinatarajiwa katika sehemu kadhaa za jimbo la Marsabit kuanzia leo November 12 – 18th mwaka huu. Wakati huo imetabiri kuwa mvua kubwa huenda zikapokelewa katika baadhi ya sehemu[Read More…]
Muaniaji wa nafasi ya mwenyekiti wa shirilikisho la mpira wa miguu FKF tawi la Marsabit Godana Roba Adi amekanusha madai kuwa amewashawishi wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya Simu, Godana ametaja kwamba amefuata mikakati yote inayofaa katika kusaka uungwaji mkono kwenye[Read More…]
Wakaazi wa eneo la Funan Qumbi, lokesheni ya Rawana, kaunti ndogo ya Sololo eneo bunge ya Moyale kaunti ya Marsabit wamelalamikia hatua ya serekali ya kaunti ya Marsabit kutowafikishia tanki 14 za maji ambazo zilikuwa zimeratibiwa kupelekwa katika eneo hilo. Wakiwakilishwa na Galm Sora ambaye ni mwenyekiti wa vijana katika[Read More…]
Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kujikinga na baridi ili kujiepusha na magonjwa yanayosababishwa na baridi. Haya ni Kwa mujibu wa Bonsa Doti ambaye ni muuguzi wa afya katika hospitali ya rufaa ya Marsabit. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani afisini mwake, Doti amesema kuwa ni muhimu kujizuia baridi kwa[Read More…]
Visa vya utapiamlo vimeongeka hadi asilimia 15.2 kutoka 13.5 katika kaunti hii ya Marsabit. Ongezeko hili likiwa ni kutoka mwezi wa Julai hadi mwezi septemba mwaka huu kulingana na deta za mamlaka ya kukabiliana na ukame NDMA. Kulingana na afisa mkuu wa lishe bora katika kaunti ya Marsabit David Buke,[Read More…]
Wahamiaji haramu 23 raia wa Eritrea wamefikishwa katika mahakama ya Marsabit kwa mashtaka ya kupatikana nchini bila shtakabadhi za kuwaruhusu kuwa nchini. Wahamiaji hao walikamatwa na maafisa wa polisi katika eneo la manyatta Karatasi eneo bunge la Saku Kaunti hii ya Marsabit. Miongoni mwa wahamiaji hao ni wanaumme 19 na[Read More…]
Mashirika yasiyo ya kiserikali yamehimizwa kuwasaidia watoto wakati wa likizo kwa kuandaa mchezo ili kusaidia watoto wajiepushe na mihadarati. Akizungumza na idhaa hii Evana Esokon ambaye ni msimamizi wa shirika la Loyangalani Spring Of Hope ni kuwa wakati wa likizo ndefu watoto wengi wanajihusisha na mambo ambayo hayafai kama vile[Read More…]
Ni afueni kwa watu wanaoishi na Ulemavu katika kaunti ya Marsabit baada ya senEta wa kaunti hii Mohamed Chute akishirikiana na mbunge wa Sakuu Ali Raso kuwapa vifaa vya kuwasaidia. Kwa mujibu wa mshirikishi katika ofisi mbunge wa Saku Bonaya Doti ni kuwa walemavu wengi wamebahati kupata vitu kadhaa kama[Read More…]