Wakazi wa vijiji vya Nawapa,Kulamawe na Kilimambogo Loiyangalani,wamelalamikia uhaba wa maji…
January 15, 2025
. Na Samuel Kosgei Serikali ya kaunti ya Marsabit ikishirikiana na Taasisi ya makavazi za kitaifa National Museum Of Kenya (NMK) imeweka makubaliano ya kushirikiana kuweka utamaduni na mila za jamii 10 asilia za Marsabit katika hifadhi ya kidigitali kinyume ilivyo Kwa Sasa ambapo tamaduni hizo hazijahifadhiwa kidigitali. Waziri wa Utalii[Read More…]
Na Lelo Wako Vijana waliojitolea kutoa huduma hospitalini katika kaunti ya Marsabit miaka sita iliyopita wameonesha masikitiko yao ya kutoajiriwa na serikali ya kaunti hata licha ya wao kutoa huduma za afya bila mshahara kutoka mwaka wa 2018. Vijana hao wakizungumza mjini Marsabit wameonesha masikitiko yao huku wakieleza kuwa[Read More…]
NA CAROLINE WAFORO Wakaazi kaunti ya Isiolo wamefanya maandamano ya Amani kupinga mswada wa kifedha wa mwaka wa 2024. Wakaazi hao an ambao idadi kubwa ni vijana wamesema mswada huu unalenga kuwakadamiza wakenya ambayo tayari wanakabiliwa na mzigo mzito wa kiuchumi. Waandamanaji hao wamesema kuwa hawajaona manufaa ya ushuru ambao[Read More…]
Na Talaso Huka Waakazi wa Marsabit wametoa hisia zao kutokana na makundi ya vijana maarufu kama ‘Gen Z’ kujihusisha kwenye maandamano ya kuupinga mswada wa fedha wa mwaka 2024/2025. Baadhi ya wakaazi waliozungumza na idhaa hii wametoa maoni yao kuwa wanaunga mkono vijana kukua mstari wa mbele kuongoza maandamano[Read More…]
Na Grace Gumato Raia wawili wa kigeni wamefikishwa katika mahakama ya Marsabit kwa kosa la kuwa nchini bila stakabadhi zozote. Wa kwanza ni mwanaume mmoja mwenye umri wa makamu ambaye ni raia wa Ethiopia aliyefikishwa mahakammni kwa kosa la kuingia Kenya bila kuwa na shtaka badhi yoyote ya kumruhusu kuwa[Read More…]
Na caroline Waforo Wakaazi wa Kaunti ya Marsabit wametakiwa kuwasilisha malalamishi yoyote ya vitambulisho kwa ofisi ya usajili wa vitambulisho Jimboni, ofisi ya chifu au hata afisi ya mkuu wa wilaya yaani DCC. Ni wito ambao umetolewa na Michael Rapolo ambaye ni mkuu wa usajili wa watu jimboni Marsabit na[Read More…]
Na Grace Gumato Idadi ya visa vya dhulma ya kinjisia katika kaunti ya Marsabit vinazidi kuongezeka maradufu kutoka na mabadiko ya Tabianchi. Akizungumza na idhaa hii afisini mwake Abraham Dale ambaye ni afisa wa shirika la kutetea maslahi ya wanawake MWADO ni kuwa visa vya ukeketaji ya watoto wa[Read More…]
NA JOHN BOSCO NATELENG Mashindano ya michezo ya Muhula wa pili ya shule za upili kitengo cha kaunti ndogo yameanza na yanaendelea katika eneo bunge la Saku. Akizungumza katika uzinduzi wa mashindano hayo katika shule ya upili ya Moi Girls, Mkurugenzi wa elimu wa kaunti ndogo ya Saku Hussein Harubu amesema kuwa[Read More…]
TALASO HUQA Tamasha ya muziki imeng’oa nanga katika shule ya upili wa wavulana ya Marsabit Boys. Shule ambazo zimehudhuria ni shule 4 za msingi na shule 14 za upili kutoka kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii mwenyekiti wa shindano la muziki kaunti ya Marsabit Madina Harme Oche amesema kuwa[Read More…]
NA JB NATELENG Vijana katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kuwaheshimu wazazi wao ili kupunguza visa vya mizozo ya familia. Akizungumza na idhaa hii afisini mwake Padre Titus Makhoha ambaye ni Baba Paroko katika kanisa la cathedral hapa Marsabit amesikitishwa na ongezeko la visa vya vijana haswa wavulana kutoheshimu na kukosa[Read More…]