Kampuni ya kutoa huduma za maji kaunti ya Marsabit MARWASCO kufikia wateja wengi licha ya mfadhili kujiondoa.
March 25, 2025
Na Isaac Waihenya, Wito umetolewa kwa wakaazi wa wadi ya Illeret hapa jimboni Marsabit kujitokeza ili kupata vitambulisho katika zoezi la usajili linaloendelea kwa sasa. Kwa mujibu wa msajili wa watu katika kaunti ya Marsabit Isaac Kibet ni kuwa zoezi hilo la siku kumi limesimamiwa na katibu katika idara ya[Read More…]
Na JB Nateleng, Jamii imetakiwa kuwapokea waathiriwa wa dhulma za kijinsia na kuwaonyesha upendo. Haya ni kwa mujibu wa Mtawa Mourine kutoka shirika la st Teresa Charity Sisters jimboni Marsabit. Mtawa Mourine ameelezea kuwa kumekuwa na visa ambapo wanajamii wanakataa kumpokea waathiriwa wa dhulma za kijinsia baada ya kunusuriwa na[Read More…]
Na Carol Waforo Wito wa amani unaendelea kutolewa kwa wakaazi wa Marsabit na haswa walio katika maeneo ya mpaka wa kenya na Ethiopia. Haya ni baada ya kushuhudiwa kwa visa vya utovu wa usalama katika eneo la Dukana nchini Kenya na eneo la Dillo nchini Ethiopia ambapo kijana moja raia[Read More…]
Na Caroline Waforo, Serikali za nchi za Kenya na Ethiopia kwa pamoja zimeanza mchakato wa kutafuta amani ya kudumu mpakani kufuatia matukio ya utovu wa usalama ya hivi maajuzi ambapo kijana moja raia wa Kenya aliuawa kwa kupigwa risasi katika eneo la Dukana eneo bunge la North Horr kaunti ya[Read More…]
Na JB Nateleng Ili kujenga kanisa lenye matumaini ni Lazima wakristu waweze kushirikiana kwa kueneza neno la Mungu Haya yamewekwa wazi na watawa wa shirika la evangelizing sisters of Mary jimboni Marsabit wakisema kuwa lengo la kanisa ni kuwaleta wakristu pamoja na kuwafanya waishi kwa upendo. Watawa hawa wamesema kuwa[Read More…]
Na Joseph Muchai, Mvua zinazoshuhudiwa katika kauti ya Marsabit sio za kutegemewa. Haya ni kwa mujibu wa wataalam katika kaunti ya Marsabit. Tahadhari hii imetolewa kwa wakaazi wakionywa kuwa mvua itanyesha kwa kipindi kifupi. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa mamlaka ya kukabiliana na kiangazi katika kaunti ya Marsabit Guyo Golicha[Read More…]
Na JB Nateleng, Msimu wa Kwaresma ni msimu wa kujitolea kuwasaidia wasiojiweza katika jamii kwa kuwatembelea na kusali nao. Haya ni kwa mujibu wa mtawa Mourine kutoka shirika la St Teresa Charity Sister, hapa jimboni Marsabit. Mtawa Mourine amesema kuwa lazima tuangalie katika jamii wale wasiojiweza na tuwasaidie ili nao[Read More…]
Na Mwandishi Wetu WAKAAZI wa eneo la Songa eneobunge la Saku kaunti hii ya marsabit wameombwa kushirikiana na asasi za usalama ili kukomesha visa vya ubakaji vinavyodaiwa kufanyika katika eneo hilo siku za hivi maajuzi. Akizungumza na kituo hiki naibu chifu wa songa Luka Lolkipayangi ameomba wananchi waliona na taarifa[Read More…]
Na JB Nateleng Wito umetolewa kwa jamii ya wafugaji jimboni Marsabit kukumbatia utamaduni wa kuweka akiba kwa manufaa ya kujiboresha na kuwa tayari kujikuza kibiashara ili kupambana na mabadiliko ya tabia nchi. Kwa mujibu wa mratibu wa shirika la akiba la SHOFCO Bernard Mulwa ni kwamba jamii ya wafugaji inafaa[Read More…]
Na Samuel Kosgei Kituo cha radio Radio Jangwani kinaadhimisha miaka 9 tangu kuanzishwa kwake huku kikisalia kuwa nguzo muhimu kwa jamii ya wafugaji wa Marsabit kwa kutoa habari, malezi ya kiroho, na hata burudani. Baadhi ya mashabiki wa mwanzo wa radio jangwani wakiongozwa na Isaac Leria maarufu kama Mzee Dokhle kutoka eneo[Read More…]