Wakazi wa vijiji vya Nawapa,Kulamawe na Kilimambogo Loiyangalani,wamelalamikia uhaba wa maji…
January 15, 2025
Na Samuel Kosgei SENETA wa Marsabit Mohamed Chute amesema yuko tayari kujiuzulu iwapo tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC itaweza kudhibitisha kuwa alipokea malipo ya shilingi milioni 365 kama ilivyodaiwa wiki jana. Seneta Chute akizungumza na idhaa hii kwenye kipindi cha Amkia Jangwani asubuhi ya Jumatano amesema kuwa yeye hakukamatwa[Read More…]
Na Caroline Waforo Idara ya watoto katika eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit imesema kuwa kwa ushirikiano na idara ya upelelezi DCI inaendelea kuwatafuta watoto wawili walioripotiwa kutoweka kwa njia tatanishi majuma kadhaa yaliyopita katika maeneo ya Moyale na Sololo. Kulingana na afisa wa watoto katika eneo bunge[Read More…]
Na Jalle Elias Serikali imezindua zoezi la mafunzo ya kidijitali litakalo endelea kwa kipindi cha miaka miwili hapa jimboni Marsabit. Kulingana na afisa wa mawasiliano katika mwavuli wa kaunti za FCDC Halima Golicha Ibrahim aliyezungumza na waandishi wa habari wakati wa zoezi hilo ni kuwa majaribio ya zoezi hilo ambayo[Read More…]
Na Caroline Waforo Ajira kwa watoto imeongezeka katika kaunti ndogo ya Sololo eneobunge la Moyale kaunti ya Marsabit ambapo watoto wengi wanaaajiriwa katika kazi mbalimbali badala ya kuwepo shuleni. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu afisa wa kupigania haki za watoto katika shirika la Strategies for Northern Development[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Mwenyekiti wa muungano wa baraza la makanisa tawi la Marsabit (NCCK)mchungaji Said Diba ametaja hoja ya kuwepo kwa mkao kati ya viongozi na vijana wa Gen Zs. Mwenyekiti wa muungano wa baraza la makanisa tawi la Marsabit (NCCK)mchungaji Said Diba ametaja hoja ya kuwepo kwa mkao kati[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Mwenyekiti wa muungano wa baraza la makanisa tawi la Marsabit (NCCK)mchungaji Said Diba ametaja hoja ya kuwepo kwa mkao kati ya viongozi na vijana wa Gen Zs. Mwenyekiti wa muungano wa baraza la makanisa tawi la Marsabit (NCCK)mchungaji Said Diba ametaja hoja ya kuwepo kwa mkao kati[Read More…]
Na Samuel Kosgei Watu wanne wamefariki huku wengine saba wakijeruhiwa kufuatia kuporomoka kwa mgodi wa kuchimba dhahabu wa Hillo katika lokesheni ya Dabel kaunti ndogo ya Moyale. Kulingana na idara ya usalama, karibia watu elfu mbili kutoka eneo hilo waliingia kwa nguvu sehemu hiyo na kuwalemea maafisa wa polisi waliokuwa[Read More…]
NA ISAAC WAIHENYA Idara ya elimu kaunti ya Marsabit itashirikiana na washikadau wengine, ikiwemo ofisi ya CDF katika eneo bunge la Laisamis na wizara ya usalama wa ndani kuangazia namna shule ya msingi ya El Molo Bay inaweza hamishwa katika eneo salama na mbali na maji ya ziwa Turkana katika[Read More…]
NA ISAAC WAIHENYA Sasa ni afueni kwa wananchi wa maeneo ya Korr na Kargi baada ya wizara ya elimu kutuma kitita cha shilingi milioni 50 kujenga shule ya Mary Ngoyoni Memorial school ili kupiga jeki elimu katika maeneo hayo. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Joseph[Read More…]
Na Samuel Kosgei ZOEZI la kutoa mchanga na kuondoa uchafu kutoka bwawa la Bakuli 2 ulio mlima Marsabit linakaribia kukamilika huku asilimia zaidi ya 90 ikiwa imefanyika kufikia sasa. Hayo ni kulingana na meneja msimamizi wa kampuni ya maji na majitaka kaunti ya Marsabit MARWASCO Stephen Sora Katelo alipozungumza na[Read More…]