Featured Stories / News

Idara ya usalama kaunti ya Marsabit yalaumiwa kwa utepetevu katika kusuluhisha visa vya wizi wa bodaboda hapa mjini Marsabit.

Na Caroline Waforo, Idara ya usalama kaunti ya Marsabit imelaumiwa kwa utepetevu katika kusuluhisha visa vya wizi wa bodaboda hapa mjini Marsabit. Idara hii sasa imetakiwa kuwajibika katika majukumu yake na hata kuhakikisha kuwa haki inapatikana kufuatia mauaji ya mhudumu moja wa bodaboda viungani mwa mji wa Marsabit. Wakizungumza wakati[Read More…]

Visa vya magonjwa ya figo vyaongezeka katika kaunti ya marsabit

NA SABALUA MOSES Na huku dunia ikienda kusherekea siku ya figo duniani hiyo kesho wakaazi katika kaunti ya marsabit wamehimizwa  kutembelea  hospitali ya rufaa ya marsabit ili kupimwa kama wana magonjwa ya figo Akizungumza na shajara ya radio jangwani  Jilo Abdi Nassir ambaye ni daktari mkuu anayesimamamia matibabu  ya figo[Read More…]

Wagonjwa wanougua ugonjwa wa Kalazaah katika hospitali ya Laisamis Level 4 katika kaunti ya Marsabit wanendelea vyema.

NA ISAAC WAIHENYA Wagonjwa wanougua ugonjwa wa Kalazaah katika hospitali ya Laisamis Level 4 katika kaunti ya Marsabit wanendelea vyema. Haya ni kwa mujibi mkurugenzi mkuu wa hospitali hiyo Liban Wako. Akizungumza na meza ya habari ya Radio Jangwani kwa njia ya simu, Wako ametaja kwamba tayari wagonjwa kumi wameruhusiwa[Read More…]

Subscribe to eNewsletter