Watahiniwa wa mitihani ya kitaifa mwaka huu watakiwa kujiamini na kujiandaa ipasavyo
September 1, 2025
KATIBU wa chama cha kutetea maslahi ya walimu wa shule za upili KUPPET tawi la Marsabit Sarr Galgalo, ameitaka tume ya huduma za walimu TSC kufanya uchunguzi wa kina na usio wa kibaguzi dhidi ya hatua ya walimu wa shule ya upili ya Maikona Girls wanaodaiwa kuwaadhibu vikali wanafunzi wiki[Read More…]
Na JB Nateleng Maambukizi ya virusi vya Ukimwi (HIV) vinazidi kupungua kila uchao katika kaunti ya Marsabit ikilinganishwa baadhi ya kaunti nchini Haya ni kwa mujibu wa daktaru Steve Sereti ambaye ni mhudumu wa afya kutoka hospitali ya rufaa ya Marsabit. Sereti ameelezea kwamba kupungua huku kumechangiwa na mabadiliko ya jinsi[Read More…]
Na Caroline Waforo Kaunti ndogo ya Marsabit central ndiyo inaongoza katika visa vya unajisi vinavyorekodiwa katika mahakama ya Marsabit. Idadi hiyo kubwa imesababishwa na sehemu hiyo kuwa karibu na mji ambako watu wana uelewa na maarifa Zaidi, sawa na kuwa tayari kuripoti visa hivyo ikilinganishwa na maeneo mengine haswa kule[Read More…]
Huzuni imetanda katika kijiji cha Bulapesa kaunti ya Isiolo baada ya mama na watoto wake watano kuangamia baada ya nyumba waliomukuwa wanaishi kuteketea usiku wa kuamkia leo. Kwa mujibu wa baadhi ya raia waliozungumza na kituo hiki kwa njia ya simu, huenda mkasa huo wa moto ulisababishwa kimakusudi na mshukiwa[Read More…]
Na Joseph Muchai Kufuatia hatua waziri wa utumishi wa Umma Geoffrey Ruku kutoa onyo kali kwa watumishi wa umma kuwa kuchelewa na kukosa kuenda kazini hakutaruhusiwa tena, wakazi katika kaunti ya Marsabit wametoa hisia zao kuhusu swala hilo. Wakiongea na Shajara ya Radio Yangwani mapema leo wakaazi wameelezea kuwa wakati[Read More…]
NA JB Nateleng Mtaalam wa saratani katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Joyce Mukoro amewataka wakazi wa Marsabit kuweza kutembelea zahanati ama hospitali iliyopo karibu nao iwapo watagundua uvimbe usio wa kawaida mwilini ili kupata matibabu na kujikinga dhidi ya kupata saratani ya Sarcoma. Mukoro amesema kuwa uvimbe usio wa[Read More…]
Mahakama ya leba na uajiri jijini Nairobi imesitisha kwa muda kuondolewa kwa spika wa bunge la kaunti ya Isiolo Abdullahi Jaldesa Banticha. Katika maamuzi yaliyotolewa jana na mahakama hiyo,jaji Hellen Wasilwa alitoa agizo la kuzuia jina la Banticha kuondolewa kwenye gazeti rasmi la serikali hadi malalamishi yake yatakapo sikilizwa na[Read More…]
NA HENRY KHOYAN. Siku chache tu baada ya Rais William Ruto kutoa onyo kwa viongozi wa kidini kuhusu kuchochea maandamano ya vijana, viongozi wa kidini jimboni Marsabit wamejibu na kusema kuwa kauli hiyo si ya kweli. Wakizungumza na Radio Jangwani, baadhi ya viongozi hao wameeleza kutoridhishwa na matamshi ya Rais,[Read More…]
NA CAROL WAFORO Mahakama ya Marsabit imemhukumu mwanaume mmoja kifungo cha miaka minne gerezani kwa kosa la kumtishia kumuuwa mkewe. Roba Katello amepatikana na hatia ya kumtishia kumuuwa mkewe Habiba Katello kwa kisu, kosa alilolitekeleza tarehe 10 mwezi Septemba mwaka 2024 katika eneo la Matta Arba eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit. Hakimu Mwandamizi wa mahakama ya Marsabit Simon[Read More…]
Na Muchai Joseph Kuongezeka kwa bei ya mafuta na bidhaa nyingine za petroli humu nchini kumeonekana kuzua ngumzo miongoni mwa wananchi. Wakaazi wameelezea kughadhabishwa kwao na ongezeko hilo wakisema kuwa hali ya maisha itaadhirika kwani kupanda kwa bidhaa za petroli kunagusa kila sekta ya uchumi. Shajara ya Radio Jangwani imekuwa mitaani kusikiza[Read More…]