Featured Stories / News

Jamii za Loiyangalani zatakiwa kusitisha chuki na kuishi kwa Amani.

Na Mwandishi Wetu Jamii zinazoishi katika kaunti ndogo ya Loiyangalani kaunti ya Marsabit zimetakiwa kudumisha amani na kusitisha uhasama unaoendelea kushuhudiwa katika siku za hivi punde. Huu ni wito ambao umetolewa na Baraza la wazee wa jamii ya Rendile ambao wamezungumza na wanahabari leo hii. Salim Kato ni mwenyekiti wa[Read More…]

Wakaazi wa Marsabit watakiwa kushirikiana na shirika la Maji, la Water Resource Authority haswa wanapopanga kuchimba visima.

Na Isaac Waihenya, Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametakiwa kushirikiana na shirika la Maji, la Water resource authority haswa wanapopanga kuchimba visima. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa shirika la Regional Centre on Groundwater resources Education and Training (RCW) Agnes Mbugua ni kuwa mashirika hayo mawili yanafanya kazi kwa pamoja kuhakikisha[Read More…]

OCS wa Loiyangalani asafirishwa kwa ndege hadi jijini Nairobi kupokea matibabu baada ya kujeruhiwa na wahalifu

Na waandishi wetu OCS wa Loiyangalani amesafirishwa kwa ndege hadi jijini Nairobi kupokea matibabu baada ya kujeruhiwa na wahalifu. Inaarifika kuwa jana asubuhi mida ya saa nne na dakika 15 nyuma ya Desert Museum katika eneo la Loiyangalani palitokea mviatuliano wa risasi kati ya maafisa wa polisi na majambazi kutoka[Read More…]

Vijiji vitatu katika lokesheni ya Dirib Gombo,Marsabit vyatangazwa rasmi kama vijiji ambavyo vina vyoo vya kuwamudu wanachi wote na kuzuia utupaji wa kinyesi ovyo yaani (Open Defecation Free).

Na JB Nateleng Vijiji vitatu katika eneo la Boru Haro lokesheni ya Dirib Gombo, kaunti ndogo ya Saku kaunti ya Marsabit vimetangazwa rasmi kama vijiji ambavyo vina vyoo vya kuwamudu wanachi wote na kuzuia utupaji wa kinyesi ovyo yaani (Open Defecation Free). Vijiji hivi ambavyo ni kijiji cha Wario Guyo,[Read More…]

Subscribe to eNewsletter