October 30, 2024
Afueni kwa shule ya Loglogo Girls baada ya kujengewa nyumba ya walimu na shirika KDEF
NA GRACE GUMATO Ni afueni kwa shule ya bweni ya wasichana ya Loglog girls baada ya shirika lisilo la kiserikali la KDEF kujenge nyumba ya walimu iliyofunguliwa rasmi hii leo katika shule hiyo. Akizungumza katika halfa hiyo Ahmed Kura ambaye ni mkurungezi wa KDEF ni kuwa Zaidi ya shule 100[Read More…]