Wakazi wa vijiji vya Nawapa,Kulamawe na Kilimambogo Loiyangalani,wamelalamikia uhaba wa maji…
January 15, 2025
Waliokuwa wafanyikazi wa vibarua katika serikali ya kaunti ya Marsabit wamewasilisha kesi mahakamani kupinga kukatizwa kwa mkataba wao wa kazi. Walalamishi hao wanaojumuisha walinzi walioajiriwa kati ya mwaka 2014-2021 wanashutumu serikali ya kaunti ya Marsabit kwa kwenda kinyume na makubaliano na mkataba. Katika kesi hiyo iliyowasilishwa katika mahakama ya marsabit[Read More…]
|Idara Ya utabiri wa hali ya hewa ya kaunti ya Marsabit imesema kuwa Mvua za asubuhi pamoja na mvua za alasiri na hata usiku zinatarajiwa katika maeneo machache ya Kaunti katika kipindi cha wiki moja kuanzia tarehe 5 Jumanne hadi Jumatatu ijayo tarehe 11. Mkurugenzi wa idara ya hewa[Read More…]
ASKOFU wa kanisa la Kianglikana (ACK) kaunti ya Marsabit Wario Daniel Qampicha ameshutumu tabia ya wizi wa mitihani wa kitaifa akisema kuwa tabia hiyo hukuza jamii potovu iwapo haitakomeshwa. Askofu Qampicha akizungumza na radio jangwani kwenye kipindi cha Amkia Jangwani amesema kuwa kubembeleza tabia ya wizi wa mitihani ya kitaifa ni sawa[Read More…]
Visa vya mimba za mapema vimetajwa kuwa sababu kubwa ya wasichana kukosa kwenda shule kote nchini kwa aslimia 39.2% huku asilimia 27.3% ikikosa kwenda shule kutokana na ukosefu wa karo. Kaunti ya Marsabit imetajwa pia kuwa kaunti mojawapo ya kaunti inayoshuhudia asilimia kubwa ya wanafunzi wasiohudhuria masomo kuanzia madarasa ya[Read More…]
Mwanaume mmoja auwawa katika kisa cha wizi wa mifugo,eneo la Loiyangalani kaunti ya Marsabit. Mtu moja ameuawa kwa kupigwa risasi huku mwingine akiachwa na majeraha ya risasi katika shambulizi la wizi wa mifugo katika eneo la Dakaiye wadi ya Loiyangalani kaunti ya Marsabit. Kulingana na kamanda wa polisi kaunti ya[Read More…]
Wazazi Marsabit watakiwa kuwapa watoto wao ulinzi msimu huu wa likizo Ni jukumu la Wazazi kuhakikisha kuwa usalama wa wanao umeisharishwa wakati huu wa likizo. Hayo ni kwa mujibu wa katibu wa muungano wa Maimamu katika kaunti ya Marsabit Sheikh Bashir Somo. Akizungumza na idhaa hii, Sheikh Bashir amesema kuwa[Read More…]
Maafisa wawili wa kitengo cha DCI katika kaunti ya Marsabit wanaguuza majereha ya risasi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kushabuliwa na watu wasio julikana katika Eneo ya Funan Idha iliyoko katika kaunti Ndogo ya Turbi. Akidhibitisha kisa hiki kwa njia ya simu OCPD wa Turbi Daniel Parmuat ni kuwa mashambulizi[Read More…]
Wakaazi jimboni Marsabit na ambao hunufaika na msaada wa fedha kutoka kwa mpango wa HUNGER SAFETY NET wanatarajiwa kupokea fedha hizo kuanzia tarehe 3 mwezi ujao wa Novemba. Haya ni kulingana na mkurugenzi wa mamlaka ya kukabiliana na ukame NDMA jimboni Marsabit Guyo Golicha ambaye amezungumza na shajara ya Radio[Read More…]
Utumizi wa dawa za kupambana na bakteria mwilini (Antibiotics) ambazo hazijaidhinishwa na mtaalamu wa afya unaweza kusababisha kifo. Kwa mujibu wa mwanafamasia katika katika hospitali ya rufaa ya Marsabitt Adan Ibro ni kuwa wakaazi wengi katika kaunti ya Marsabit wanamazoea ya kunua dawa wanapohisi maumivu mwilini jambo ambalo amesema kuwa linahatarisha[Read More…]
Mwanaume moja mwenye umri wa miaka 27 amehukumiwa kifungo cha miaka 10 kwa jaribio la ubakaji katika mahakama ya Marsabit. Mahakama imempata na hatia baada ya kuarifiwa kuwa mnamo tarehe 15 Januari mwaka 2024 katika eneo la manyatta Sessi eneobunge la Northhorr kaunti ya Marsabit mtuhumiwa Shuna Wario Halakhe alijaribu[Read More…]