October 30, 2024
SUPKEM yaidhinisha Misikiti kufungwa kuepuka misongamano kukabiliana na Coronavirus
Na Adano Sharawe Kwa mara ya kwanza waumini wa kiislamu jimboni marsabit hawatahudhuria swala kama kawaida katika misikiti baada ya kufungwa kuzuia maambukizi ya corona. Katika taarifa, mwenyekiti wa baraza la maimamu na wahubiri SUPKEM jimboni Jarso Jllo Fallana amesema baada ya mashauriano baina ya viongozi wa misikiti, wameamua kufunga[Read More…]