Sport Bulletins

sport bulletins

USALAMA WAIMARISHWA KATIKA KIJIJI CHA ABBO,SOLOLO KATIKA KAUNTI YA MARSABIT BAADA YA UVAMIZI SIKU YA JUMAPILI.

Usalama umeimarishwa katika kijiji cha Abbo kaunti ndogo ya Sololo katika kaunti ya Marsabit baada ya zaidi ya wahalifu wapatao 20 wanaoaminika kutoka nchi jirani ya Ethiopia kuvamia kijiji hicho na kuanza kufyatua risasi kabla ya kutoweka kuelekea eneo la Dukale nchini Ethiopia. Kulingana na kamanda wa polisi kaunti ya[Read More…]

Read More

WAZAZI KAUNTI YA MARSABIT WATAKIWA KUWA WANGALIFU KIPINDI CHA LIKIZO ILI KUWAEPUSHA WANAO NA UTUMIZI WA MIHADARATI.

Wazazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuwa wangalifu kipindi hichi likizo ili kuhakikisha kwamba wanao hawajiingizi katika utumizi wa mihadarati. Kwa mujibu wa mwalimu Sarah Wanyeki ni kuwa ni jukumu la wazazi kujua waliko wanao kipindi cha likizo ili wasije wakajihisisha na maovu. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa[Read More…]

Read More

Orodha ya wagombea katika nafasi mbalimbali za FKF Marsabit yatolewa.

Orodha ya wagombea katika nafasi mbalimbali za FKF Marsabit yatolewa. Huku uchaguzi wa kuwania nafasi mbalimbali katika shirikisho la soka nchini Kenya FKF ukitarajiwa kufanyika hivi karibuni wagombea kutoka maeneo mbalimbali wamejitokeza kuwania nafasi za uongozi katika kaunti ya Marsabit. Miongoni mwa nafasi zinazogombaniwa ni pamoja na Uenyekiti,katibu, mweka hazina,mwakilishi[Read More…]

Read More

BADHII YA MANAHODHA WA VILABU VYA KABUMBU WALALAMIKIA KILE WAMEKIKATAJA KUWA NI KUFUNGIWA NJE KWENYE UCHAGUZI MKUU WA KUWACHAGUA VIONGOZI WA MICHEZO KATIKA JIMBO LA MARSABIT.

Na Isaac Waihenya & Abdilaziz Abdi, Badhii ya manahodha wa vilabu vya kabumbu katika eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit wamelalamikia kile wamekitaja kuwa ni kufungiwa nje kwenye uchaguzi mkuu wa kuwachagua viongozi wa michezo katika jimbo la Marsabit Wakizungumza na waadishi wa habari hapa mjini Marsabit manahodha hao[Read More…]

Read More

HUDUMA ZA MATIBABU KATIKA HOSPITALI ZA UMMA KATIKA KAUNTI YA MARSABIT KUZOROTEKA ZAIDI BAADA YA WAHUDUMU WA MAABARA KUANZA RASMI MGOMO WAO USIKU WA KUAMKIA LEO JUMATANO.

Na Caroline Waforo, Huduma za matibabu katika hospitali za umma katika kaunti ya Marsabit zinataendelea kuathirika hata zaidi baada ya wahudumu wa maabara kuanza rasmi mgomo wao usiku wa kuamkia leo jumatano. Akizungumza na Shajara Ya Radio Jangwani kwa njia ya simu katibu wa muungano wa wahudumu wa maabara Barako[Read More…]

Read More

PSG Tayari Kumuuza Mbappe

  Na Samuel Kosgei Klabu ya Paris St-Germain iko tayari kumuuza Kylian Mbappe msimu huu wa joto badala ya hatari ya kumpoteza bila malipo katika muda wa mwaka mmoja, baada ya kuiambia klabu hiyo ya Ufaransa kuwa hataongeza mkataba wake. Mkataba wa sasa wa mchezaji huyo wa Ufaransa unamalizika mwishoni[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter