Understanding Elavil: Uses, Benefits, and Safety
December 26, 2024
Na Caroline Waforo, Idara ya usalama mjini Marsabit imepiga marufuku huduma za bodaboda masaa ya usiku. Kulingana na OCS wa Marsabit Central Edward Mabonga marufuku hiyo inatekelezwa kuanzi saa tano usiku hadi saa kumi asubuhi. Hii ni katika jitihada za kuimarsha usalama wa kutosha mjini Marsabit kufuatia kuongezeka kwa visa[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Waadishi wa habari hapa jimboni Marsabit wametakiwa kufunguka kuhusiana na maswala yanayowadhiri ili kujizuia dhidi ya msongo wa mawazo. Kwa mujibu wa mwanahabari Abraham Dale ambaye kwa sasa anafanaya kazi na shirika lisilo la kiserekali la MWADO ni kuwa muda mwingi wanahabari hukosa kuzungumza kuhusiana na yale[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Idara ya elimu katika kaunti ya Marsabit imeweka mikakati kabambe ili kuzuia visa vya uchomaji wa shule kutokea hapa jimboni. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri ni kuwa idara ya elimu imehakikisha kwamba iko makini ili kuzuia kutokea kwa visa vya[Read More…]
Na JB Nateleng & Naima Abdullahi, Mwanamme mmoja aliyeripotiwa kupotea miezi mitatu iliyopita amepatikana akiwa ameiga dunia katika crater ya Goff Arero eneo bunge la Saku,kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee chifu wa eneo Qiltu Korma Alex Ali Goresa, amesema kuwa mwanamme huyo na ambaye[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wakaazi katika kijiji cha Bururi eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit wameitaka idara ya afya hapa jimboni kutuma msaada wa kimatibabu katika eneo hilo ili kushughulikia ugonjwa unaokisiwa kuwa ni Upele maarufu Scabies. Wakizungumza na Radio Jangwani kwa njia ya simu wakaazi hao wametaja kwamba tayari[Read More…]
The Holy Father, Pope Francis has appointed Very Reverend Father John Kiplimo Lelei as Auxiliary Bishop of the Catholic Diocese of Eldoret. The news of Fr. Kiplimo’s appointment was officially published in L’Osservatore Romano in Rome on March 27, 2024, at 12:00 pm Rome time and 2:00 pm Kenyan time.[Read More…]
Na Isaac Waihenya Msichana mmoja mwenye umri wa miaka 15 ameaga dunia siku ya Jumapili baada ya kusombwa na maji ya mto Kargi katika eneo la Kargi katika kaunti ya Marsabit. Akidhibitisha kisa hicho MCA wa wadi ya Kargi Christopher Ogom amesema kwamba msichana huyo alikuwa akichunga mbuzi karibu na[Read More…]
Na Adano Sharamo Huenda wakenya wanakula vyakula vyenye sumu. Ripoti ambayo imetolewa na shirika la Heinrich Boll Foundation inaonyesha kwamba nusu ya dawa zinazotumika na wakenya kunyunyizia mimea yao imepigwa marufuku kwenye muungano wa mataifa ya Uropa-EU kutokana na kiwango kikubwa cha kemikali. Kwa mujibu wa ripoti hiyo wakenya wanakula[Read More…]
Na Adano Sharamo Chama cha wanasheria nchini-LSK kimesisitiza kwamba sheria ya fedha 2023 ilikosa kuafikia vigezo vinavyotakikana kabla ya kuanza kutekelezwa. LSK kupitia rais wa chama hicho Eric Theuri kiliambia mahakama kuu kwamba kina wasiwasi kwamba kuna baadhi ya vipengele kwenye sheria ambavyo vina utata ikisitiza haja ya mahakama kuvifutilia[Read More…]
Na Isaac Waihenya Rais Wiliam Ruto ameelezea kujitolea kwa serekali ya Kenya Kwanza kuimarisha maisha ya mwananchi wa chini. Rais Ruto aliyasema hayo katika ukumbi wa KICC jijini Nairobi wakati wa uzinduzi wa mpango wa kuwapa uwezo wahudumu wa bodaboda kote nchini. Mpango huo pia unawapa wanabodaboda mbinu bora[Read More…]