Gachagua asema atawania urais katika uchaguzi wa mwaka 2027
Na JB Nateleng Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amesema bado anastahili kugombea urais katika Uchaguzi…
Wachuuzi wa maji Marsabit watoa makataa kwa kampuni ya MARWASCO
Na Nyabande Orwa Wachuuzi wa maji mjini Marsabit, katika eneo bunge la Saku, wameipa kampuni…
Wadau wasisitiza usawa katika malezi na maendeleo ya watoto.
Na Sabalua Moses Afisa mkuu wa programu kutoka shirika la Compassion, Ronaldo Fandia, amesema watoto…
EACC yamtia mbaroni afisa wa jiji la Nairobi
Na JB Nateleng Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imemkamata Afisa Mkuu wa…
Viongozi wa upinzani wakosoa mpango wa kituo cha karantini ya ebola Nanyuki
Na JB Nateleng Viongozi wa upinzani, akiwemo Fred Matiang'i na Peter Munya, wameendelea kuikosoa serikali…
Viongozi wa upinzani waitaka serikali kusikiliza wananchi kuhusu ujenzi wa karantini ya ebola
Na JB Nateleng Hatua ya serikali ya kujenga kituo cha karantini ya Ebola imeendelea kuibua…
Waziri Duale asema kuwa serikali si lazima ishirikishe wananchi kuhusiana na ujenzi kituo cha Ebola Laikipia.
Na JB Nateleng Waziri wa Afya, Adan Duale, amefika mbele ya wabunge kujibu maswali kuhusu…
Washukiwa 9 wa mkasa wa moto katika shule ya utumishi girls wazuiliwa kwa siku 21 zaidi.
Na JB Nateleng Mahakama ya Naivasha imeamuru wasichana tisa kutoka Shule ya Utumishi Girls Academy…
Wasanii katika Kaunti ya Samburu wafanya matembezi ya amani kuhamasisha kuhusu ugonjwa wa figo
Na Silvio Nangori Wasanii katika Kaunti ya Samburu wamefanya matembezi ya amani katika mji wa…
Madaktari Isiolo waanza mgomo baada ya notisi ya siku 21 kumalizika
Na Silvio Nangori Madaktari katika Kaunti ya Isiolo wameanza rasmi mgomo kufuatia kumalizika kwa notisi…
Rais Ruto ahakikishia taifa uchaguzi wa haki na salama mwaka ujao.
Na Samuel Kosgei Rais William Ruto amejitosa katika mjadala unaoendelea kuhusu iwapo atahudumu kwa muhula mmoja au…
Mwalimu akamatwa kwa tuhuma za kumnajisi na kumpachika mimba mwanafunzi wake wa gredi saba, Kargi
Na Caroline Waforo Mwalimu mmoja wa shule ya msingi ya Mission of Hope International iliyoko…