Wizara ya afya Marsabit yadhibitisha uhaba wa chanjo ya BCG kama ilivyo kote nchini.
January 16, 2025
Na JB Natelng, Suala la Teknolojia linafaa kuangaziwa kwa undani katika kaunti ya Marsabit ili kuboresha ujuzi wa vijana ambao mara nyingi hujikuta mtaani bila ajira. Haya yamekaririwa na mkurugenzi wa mkahawa wa Ebisa hapa mjini Marsabit, Abdikadir Doyo Wario. Akizungumza na wanahabari baada ya kutoa hamasa kwa vijana kuhusu[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Serekali ya kaunti ya kaunti inashughulikia swala la kuwepo kwa wataalam wa afya ya akili katika vituo vya afya mashinani. Hili limefichuliwa na waziri wa jinsia katika kaunti ya Marsabit Jeremiah Ledanyi. Akizungumza wakati wa zoezi la uzinduzi wa shirika la Open Minds Community Focus (OMCF)linashulikia maswala[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Serekali imetakiwa kuongeza mgao unaolekezwa katika kushughulia maswala ya afya ya akili nchini. Kwa mujibu wa afisa anayesimaamia kitengo cha afya ya akili katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Victor Karani ni kuwa mgao unaoelekezwa katika kushughulikia maswala ya afya ya akili ni wa chini mno. Akizungumza[Read More…]
. Na Isaac Waihenya, Onyo kali imetolewa kwa kliniki za kibinafsi mjini Marsabit dhidi ya kutotupa vifaa vilivyotumika vya matibabu kwa njia isiyofaa. Onyo hii imetolewa na afisa wa afya katika kaunti ndogo ya Saku Daktari Duba Doyo Abduba, ambaye ametaja kwamba kumekuwepo na ongezeko la vifaa vya kimatibabu ambavyo[Read More…]
Na Caroline Waforo, Serikali itawaachia ardhi baadhi ya watu wanaokalia kipande cha ardhi ya msitu wa Marsabit kama vile Hulahula na Karare. Haya yamebainika leo wakati wa uzinduzi wa Kamati ya watumizi wa huduma za mahakama CUC kaunti ya Marsabit. Akizungumza wakati wa zoezi hilo hakimu mwanadamizi wa mahakama ya[Read More…]
Na Caroline Waforo, Wauguzi katika kaunti ya Marsabit wameapa kuendelea na mgomo wao hadi pale serikali ya kaunti ya Marsabit itakaposhughulikia matakwa yao yote. Mgomo huo ambao umeingia siku yake ya nne hii leo Alhamisi umetatiza kabisa huduma za Afya katika hospitali zote za umaa hapa jimboni ikiwa ni pamoja[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Vijana katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kujiunga na biashara badala ya kutegemea kujiariwa. Kwa mujibu wa mmoja wa wakurugenzi wa chama cha wafanyibiashara KNCCI Tawi la Marsabit Joseph Gubo ni kuwa vijana wanafaa kuangazia kujiari badala ya kuajiriwa ili kuhakikisha kwamba wanatatua swala la ukosefu wa ajiri[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wahudumu wa afya wa nyajani (CHPs) pamoja na wahudumu wa afya wasaididi (CHAs) waitaja dhulma za kijinsia, mihadarati na hata ugumu wa maisha kama maswala yanayochangia ongezeko la idadi ya watu wanaougua maradhi ya afya ya akili. Wakizungumza na vyombo vya habari wahudumu hao wa afya wakiongozwa na[Read More…]
Na Caroline Waforo, Huduma za matibabu katika hospitali za umma katika kaunti ya Marsabit zinataendelea kuathirika hata zaidi baada ya wahudumu wa maabara kuanza rasmi mgomo wao usiku wa kuamkia leo jumatano. Akizungumza na Shajara Ya Radio Jangwani kwa njia ya simu katibu wa muungano wa wahudumu wa maabara Barako[Read More…]
Na Talaso Huka, Mwanaumme mmoja mwenye umri wa makamu amefungwa kifungo cha miaka mitano gerezani baada ya kupatikana na kosa la kumjanisi mtoto wa miaka saba. Mshukiwa Roba Godana Tura anadaiwa kwamba mnamo tarehe 2 mwezi wa mechi mwaka huu wa 2024 katika eneo la kiwanja ndege hapa mjini[Read More…]