NDOTTO WARRIORS WATWA UBINGWAWA TAJI LA AHMED KURA TOURNAMENT MWAKA 2024…
December 18, 2024
By Adho Isacko Na Mark Dida Mwenyekiti Wa Chama Cha Wazazi Humu Nchini Nicholas Maiyo Amewashauri Wazazi Kaunti Ya Marsabit Ambao Hawajawapeleka Watoto Wao Shuleni Kuhakikisha Wanafunzi Wanaripoti Shuleni Jinsi Walivyoagizwa. Maiyo Amepongeza Wale Ambao Wameitikia Wito Wa Serikali Na Kurejesha Wanao Shuleni. Kwa Mujibu Wa Maiyo, Kufikia Leo Ikiwa Ni[Read More…]
By Mark Dida Na Adho Isacko Kaunti Ya Narok Inaongoza Kwa Asilimia 44 Ya Wanafunzi Walio Walio pata Ujauzito Ikifuatwa Na Kilifi Kwa Asilimia 42. Haya Ni Kwa Mujibu Wa Mwenyekiti Wa Chama Cha Wazazi Nchini Kenya Nicholas Maiyo Ambaye Amesema Kuwa Wote Waliotunga Wanafunzi Mimba Watakamatwa Na Kuadhibiwa. Vile[Read More…]
By Adho Isacko Kufuatia kuongezeka kwa viwango vya maji katika eneo la Loiyangalani kaunti ya Marsabit mwaka jana shule kadhaa zimeadhirika huku barabara zikikatika na vyoo pamoja na madarasa kuzama. Katika shule ya msingi ya Elmollo iliyo eneo la Loiyangalani wanafunzi sasa wanataabika hata kufika shuleni kwani barabara waliyokuwa wakitumia[Read More…]
Picha; Hisani By Mark Dida. Kamishna Wa Kaunti Ya Marsabit Paul Rotich Amesema Zaidi Ya Asilimia 54 Ya Wanafunzi Katika Shule Mbalimbali Katika Kaunti Ya Marsabit Wamerudi Shuleni. Rotich Ameelezea Kuridhishwa Na Utayari Wa Shughuli Hiyo Kwenye Shule Za Kaunti Hii Na Aslimia Ya Watoto Waliorejea Shuleni Tangu Siku Ya[Read More…]
By Adano Sharawe, Samwel Kosgei & Adho Isacko Baadhi Ya Walimu Wa Shule Za Umma Kaunti Ya Marsabit Wameeleza Kusikitishwa Kwao Na Hali Ya Shule Wanaozoongoza Ikizingatiwa Kuwa Wanahitajika Kuzingatia Masharati Ya Wizaraya Afya Ilhali Hawajapokezwa Pesa Za Shughuli Hiyo Na Serikali Kama Walivyoahidiwa. Baadhi Ya Changamoto Wanazotaja Kuzipitia Ni[Read More…]
By Rose Achiego, Nairobi, Wednesday, 4th, January 2021 The Holy Father Pope Francis has accepted the resignation of John cardinal Njue as the Archbishop of Nairobi. At the same time, he has appointed Nairobi Auxiliary Bishop Rt. Rev. David Kamau as the Apostolic Administrator of Nairobi Archdiocese. Bishop Kamau has been[Read More…]
By Adano Sharawe Halmashauri ya kuthibiti sekta ya kawi na mafuta (EPRA) imefunga kituo cha Gumi kilicho eneo la Sololo kaunti ya Marsabit kwa kuuza mafuta yaliyochanganywa. Kituo cha Gumi ni kati ya vituo 16 vya mafuta ambavyo Epra imefunga kuuza humu nchini. Kwenye taarifa, halmashauri hiyo ilisema ilifanya ukaguzi kati[Read More…]
By Waihenya Isaac. Mbunge Wa Saku Ali Dido Amewataka Wazazi Kuhakikisha Kuwa Watoto Wanafuata Maagizo Ya Wiizara Ya Afya Wakiwa Nyumbani Na Hata Kuwaelimisha Namna Ya Kuzingia Masharti Hayo Wakiwa Baada Ya Shuleni. Akizungumza Katika Hafla Ya Kufunga Mwaka Iliyoandaliwa Hapo Jana Katika Makao Ya Gavana Wa Jimbo Hili Mohamoud[Read More…]
By Isaac Waihenya. Gavana Wa Kaunti Ya Marsabit Mahamoud Ali Amewataka Wananchi Kuzidi Kuzingatia Masharti Ya Covid Ili Kuzuia Msambao Wa Korona Katika Kaunti Hii. Akizungumza Katika Hafla Ya Kufunga Mwaka Iliyoandaliwa Katika Makao Yake Hapa Mjini Marsabit,Gavana Ali Amewataka Wananchi Wakaunti Ya Marsabit Kuhakikisha Kuwa Wanafuata Maagizo Ya Wizara[Read More…]
By Samuel Kosgei. Hofu Ilitanda Jumanne Katika Eneo La Hellu Kaunti Ndogo Ya Moyale Baada Ya Kundi La Nzige Wa Jangwani Kuonekana Wakipaa Katika Eneo Hilo. Akizungumza Na Shajara Ya Jangwani Kwa Njia Ya Simu Naibu Mkurugenzi Wa Idara Ya Kilimo Kaunti Ya Marsabit Na Pia Mkufunzi Wa Masuala Ya[Read More…]