Jimbo katoliki la Marsabit laadhimisha miaka 60 ya kueneza Injili.
November 23, 2024
By Adano Sharawe, Mwakilishi wadi ya Uran eneo bunge la Moyale Halkano Konso amechiliwa kutoka kwa kizuizi cha polisi juma moja baada ya kutiwa mbaroni na makachero wa DCI mjini Marsabit. Maafisa wa idara hiyo walikuwa walimkata Konso akihusishwa na kisa cha siku ya Jumamosi ambapo gari moja la serikali ya[Read More…]
By Mark Dida, Kaunti ya marsabit haijasajili visa yoyote vya maambukizi ya corona chini ya saa 24 zilizopita, ikisajili visa 147 tangu mlipuko wa virusi vya corona kuripotiwa nchini Machi mwaka uliopita. Hii ni baada ya sampuli 1164 kupimwa, mgonjwa mmoja aliaga dunia kutokana na makali ya virusi hivyo katika[Read More…]
By Waihenya Isaac, Washukiwa wanne waliokamatwa katika eneo la Ele Borr katika kaunti ndogo ya Turbi,Kaunti hii ya Marsabit mnamo februari 6 mwaka huu wamefikishwa mahakamani jijini Nairobi hii leo na kushtakiwa kwa kumiliki silaha bila kibali. Wanne hao kati yao maafisa wawili wa Kaunti ya Marsabit wamekana mashtaka[Read More…]
By Waihenya Isaac, Viongozi wa kidini nchini wametakiwa kuwa Katika mstari wa mbele katika kuwaelimisha wananchi kuhusiana na mchakato wa BBI. Kwa Mujibu wa Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo kuu la Mombasa Askofu mkuu Martin Kivuva ni kuwa ni jukumu la kila kiongozi wa kidini kuelimisha waumini wake kuhusiana[Read More…]
By Mark Dida, Mshukiwa wa wizi wa mifugo aliyenaswa na maafisa wa polisi siku ya ijumaa kufuatia makabiliano na wahalifu lokesheni ya Mata Arba eneo la Saku hakufikishwa mahakamani hii leo ilivyotarajiwa. Kulingana na OCPD wa Marsabit Central Johnston Wachira ni kuwa idara ya Upelelezi DCI imeomba mahakama siku zaidi[Read More…]
By Mark Dida, Polisi wa kenya kwa ushirikiano na wale wa nchi jirani ya Ethiopia wanaendelea na uchunguzi wa kisa ambapo mhudumu wa boda boda aliuwawa na pikipiki yake kuchukuliwa katika mtaa wa Harosa lokesheni ya Butiye huko mjni Moyale jana jioni. Kulingana na naibu kamishna wa moyale William ole[Read More…]
By Silivio Nangori, Wafanyibiashara katika sekta ya Uchukuzi kaunti ya Marsabit walalamikia hatua ya Mamlaka ya kudhibiti kawi nchini EPRA ya kuongeza bei ya Mafuta. Wakizungumza na Idhaa hii wafanyanyibiashara hao wamelalamikia kuongezeka kwa gharama ya Maisha wakidai kwamba itaongeza mzigokwa mwananchi wa kawaida. Kwa sasa wanaomba serikali kushukisha bei[Read More…]
By Adano Sharawe, Makurutu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya kusajiliwa kwenye kikosi cha jeshi la Kenya (KDF) eneo la Saku hii leo walitemwa nje kutokana na matokeo ya vipimo vyao kuwa na chembechembe za mihadarati hasa miraa. Afisa msimamizi wa shughuli ya usajili wa makurutu kuingia jeshini eneo la Saku,[Read More…]
By Adano Sharawe, Shughuli ya kuwasajili makurutu wa kujiunga na kikosi cha jeshi, KDF imeendelea leo katika kaunti ya Marsabit eneo bunge la Sakuu, huku vijana wengi wakikosa nafasi ya kujiunga na kikosi hicho licha ya kuwa na vyeti vinavyohitajika. Luteni Kanali Martin Maluki ambaye ndiye msimamizi wa zoezi hilo[Read More…]
By Mark Dida, Idara ya polisi haitalegeza kamba Katika juhudi za kukabiliana na wezi wa mifugo hapa jimboni Marsabit. Hayo ni kwa mujibu wa OCPD wa Marsabit ya kati Johnstone Wachira. Wachira ameyataja hayo baada ya maafisa wa polisi kufanikiwa kuwarejesha zaidi ya mifugo 29 walioibiwa jana jioni katika eneo la Mata[Read More…]