Diocese of Marsabit

VIJANA MARSABIT WATAKIWA KUASI MCHEZO WA KAMARI.

Wakaazi wa Marsabit wametahadharishwa kuhusu hatari za mchezo wa kamari, ambao umeanza kuathiri maisha ya vijana na hata uhusiano wa ndoa katika jamii. Akizungumza na idhaa hii, Sheikh Mohamed Nur, kiongozi wa kidini katika msikiti wa Jamia kaunti ya Marsabit, amesisitiza kwamba kamari ni haramu katika dini na kwamba ni[Read More…]

Read More

NCCK TAWI LA MARSABIT YAWARAI WANANCHI KUDUMISHA AMANI NA UPENDO

Baraza la makanisa nchini NCCK tawi la Marsabit limetoa wito kwa Wakenya kudumisha Amani na upendo. Kwenye arafa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na kusomwa na mwenyekiti wa kanisa la PCEA mjini Marsabit Elijah Kamitha, NCCK imetoa wito kwa wananchi kukumbatia Amani sawa na maelewano ili kueneza upendo katika jamii. Baraza hilo[Read More…]

Read More

VIONGOZI KORR, WATUMAI SAFARI YA KINDIKI ENEO HILO ITAWAFAIDI

VIONGOZI waliochaguliwa katika eneobunge la Laisamis kaunti ya Marsabit wametaja safari ya naibu rais Kithure Kindiki siku ya Jumapili kuwa yenye manufaa kwao ikizingatiwa ahadi ambazo Kindiki alizitoa kwa wakaazi hao. MCA wa Korr/Ngurnit Daud Tomasot akizungumza na radio jangwani ameonesha Imani kuwa ahdi ya kaunti ndogo ya Korr itawafaa[Read More…]

Read More

Jimbo katoliki la Marsabit laadhimisha miaka 60 ya kueneza Injili.

KANISA katoliki jimbo la Marsabit Jumamosi ilisherehekea miaka 60 ya kueneza injili, maadhimisho iliyofanyika kanisa katika kanisa la Cathedral mjini Marsabit. Misa takatifu iliongozwa na Mhashamu Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Nyeri Anthony Muheria. Kwenye mahubiri yake Askofu Muheria alisema kuwa ni jukumu la wakristu kusimama kidete katika imani[Read More…]

Read More

Mfumo wa kutatua kesi nje ya mahakama (AJS) wazinduliwa rasmi,Marsabit.

Mfumo wa kutatua kesi nje ya mahakama maarufu Alternative Justice System AJS umezinduliwa rasmi leo hii katika kaunti ya Marsabit. Uzinduzi huo umeongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome aliyeandamana na jaji wa Mahakama kuu ya Marsabit Jesse Nyagah pamoja na Jaji wa mahakama ya Rufaa Fred Ochieng. Akizungumza katika hafla[Read More…]

Read More

ZAIDI YA WATU 50 WANUFAIKA NA VIFAA KUTOKA KWA SHIRIKA LA THE NATIONAL FUND FOR THE DISABLED OF KENYA (NFDK) KATIKA KAUNTI YA MARSABIT.

Zaidi ya watu 50 wamenufaika na vifaa kutoka kwa shirika la The National Fund for the Disabled of Kenya (NFDK) katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa mwanachama wa bodi ya shirika hilo Profesa Julia Ojiambo ni kuwa watu hao ni kutoka kaunti ndogo tatu za jimbo la Marsabit ambazo ni Laisamis, Saku na Moyale.[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter