Diocese of Marsabit

ZAIDI YA WATU 50 WANUFAIKA NA VIFAA KUTOKA KWA SHIRIKA LA THE NATIONAL FUND FOR THE DISABLED OF KENYA (NFDK) KATIKA KAUNTI YA MARSABIT.

Zaidi ya watu 50 wamenufaika na vifaa kutoka kwa shirika la The National Fund for the Disabled of Kenya (NFDK) katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa mwanachama wa bodi ya shirika hilo Profesa Julia Ojiambo ni kuwa watu hao ni kutoka kaunti ndogo tatu za jimbo la Marsabit ambazo ni Laisamis, Saku na Moyale.[Read More…]

Read More

WANADADA WAONYWA DHIDI YA KUTUMIA DAWA ZA KUNENEPESHA KWANI HUCHANGIA UGONJWA WA KISUKARI

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya ugonjwa wa kisukari siku ya Alhamisi wanadada katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kujiepusha na matumizi ya dawa za kunenepesha mili ikitajwa kuchangia ugonjwa huo. Akizungumza na shajara ya radio Jangwani afisini mwake afisa anayesimamia ugonjwa usiokuwa wa kuambukiza Sororo Abudho amedokezo kuwa dawa hizo zina chembechembe[Read More…]

Read More

USALAMA WAIMARISHWA KATIKA KIJIJI CHA ABBO,SOLOLO KATIKA KAUNTI YA MARSABIT BAADA YA UVAMIZI SIKU YA JUMAPILI.

Usalama umeimarishwa katika kijiji cha Abbo kaunti ndogo ya Sololo katika kaunti ya Marsabit baada ya zaidi ya wahalifu wapatao 20 wanaoaminika kutoka nchi jirani ya Ethiopia kuvamia kijiji hicho na kuanza kufyatua risasi kabla ya kutoweka kuelekea eneo la Dukale nchini Ethiopia. Kulingana na kamanda wa polisi kaunti ya[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter