County Updates

County updates, notifications, news from the Marsabit County

Shuguli ya kuwagawia wafanyibiashara nafasi katika soko jipya la Marsabit yarejelewa hii leo.

By Samson Guyo, Shuguli ya kuwagawia wafanyibiashara  nafasi haswa walio adhirika baada ya ubomozi uliofanyika kabla ya ujenzi wa soko jipya la Marsabit imerejelewa hii leo. Kulingana na mwenyekiti wa manispaa ya mji wa Marsabit Roba Sereka, ni kuwa shughuli hiyo iliweza kufanywa kwa usawa huku wakipokea malalamishi ambayo wameahidi[Read More…]

Read More

Hisia mseto zazidi kuibuliwa kuhusiana na kauli ya Waziri wa Elimu Prof George Magoha kuwa ni lazima wazazi walipe karo ya shule ya muhula wa 3 la sivyo watoto warejeshwe manyumbani.

By Samson Guyo, Hisia mseto zinazidi kuibuliwa kuhusiana na kauli ya Waziri wa Elimu Prof George Magoha   kuwa ni lazima wazazi walipe karo ya shule ya muhula wa 3 la sivyo watoto warejeshwe manyumbani. Baadhi ya wazazi waliozungumza na idhaa hii  mjini  Marsabit wametaja kuwa serekali haifai kulazimisha wazazi kulipa[Read More…]

Read More

Serekali yatenga Shillingi billioni 2.227 za awamu ya kwanza ya ujenzi wa Barabara kuu ya Marsabit-Shegel

By Samson Guyo & Grace Gumato Serekali imetenga Shillingi billioni 2.227 za awamu ya kwanza ili kujenga Barabara kuu ya Marsabit-Shegel ikiwa ni mpango wa kutengeza barabara kuu kutoka Marsabit kuelekea Northhorr. Akizungumza na shajara ya radio jangwani mhandisi mkuu wa mradi huo Joel wairua ameelezea kuwa awamu hiyo ya kwanza[Read More…]

Read More

Wanawake watekelezwa Marsabit na hata kufanyiwa uamuzi muhimu wakati wa majanga

Na Waihenya Isaac, Jamii nyingi katika kaunti ya Marsabit zimewatelekeza wanawake huku wengi wao wakiumia kipindi kunapotokea majanga kwa kukosa ufahamu. Haya yamebainishwa wakati wa hafla ya kuwahamasisha wanawake kuhusu namna ya kujimudu wakati wa majanga. Afisa anayesimamia shughuli hiyo Sahara Ahmed amesema kuwa ipo hoja ya wanawake kupewa elimu[Read More…]

Read More

Kamishna Paul Rotich Awahakikishia Wakaazi Wa Kaunti Ya Marsabit Usalama Wa Kutosha.

By Waihenya Isaac Kamishna wa kaunti ya Marsabit Paul Rotich amewahakikishia wakaazi wa kaunti ya Marsabit usalama wa kutosha. Akizungumza wakti wa Uzinduzi wa shihena ya Chakula cha msaada Kutoka kwa shirika la msaba mwekunduku uliofanyaika hapa mjini Marsabit,Kamishna Rotich ametaja kuwa serekali inafanya kila jitihada ili kuondoa kero la[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter